Erick Msemakweli, je PhD zote ambazo hukutaja kwenye kitabu ni kwamba ziko halali si feki?

Samweli Mathayo

JF-Expert Member
Aug 1, 2017
1,577
1,700
Bwana msemakweli Erick Kainerugaba, nakujua sana kwa kazi unazofanya kazi nzuri ambazo zinapelekea kuibua maovu Na masuala mbali mbali ndani ya Taifa letu.

Mwaka 2010 ulitoa kitabu ambacho kinazungumzia na kuelezea watu mbali mbali wanavyodanganya umma kuhusu elimu zao, kiliitwa Mafisadi elimu.


Kipindi unayatangaza majina ndani ya kitabu chako pale mango garden uliulizwa kuwa umetumia mbinu gani kujua habari hizi,
Umesema ulitumia takriban miez 8 kujua habari zao, kuanzia shule walizosoma, mpaka vyuo vikuu.

Nauliza je ulipata kupitia PHD zote kuona ni halali au nyingine hazigusiki?

Nakumbuka nimekuuliza Ile PhD inayosemwa semwa sana Naulizia

Umenijibu kwamba kwanza mda huu unapenda usalama wa maisha yako, hii Ni baada ya aliyekuwa waziri akupigia simu kuwa kijana ntakumaliza, Na mwingine akapanga mpango wake juu yako ukazipata habari ukakausha hukwenda,

Je tutegemee mafisadi elimu part two? Nayo itahusisha Ile PHD Yetu?

Swali la pili unaonekana kusita sita kutaja watu hasa kipindi hiki, ni lini kitabu chako kitatoka?

Nauliza
 
Atapotea na kuokotwa kwenye viroba Mtoni au baharini achezeee visasi.com
 
Back
Top Bottom