Erick Kabendera ni nani na nchi za magharibi zina maslahi gani kwake?

Mikocheni Junction

Mikocheni Junction

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2019
Messages
1,223
Points
2,000
Mikocheni Junction

Mikocheni Junction

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2019
1,223 2,000
Kumbe Nchi ikiingia kwenye machafuko yeye atakimbilia Canada
 
upendodaima

upendodaima

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2013
Messages
3,507
Points
2,000
upendodaima

upendodaima

JF-Expert Member
Joined May 23, 2013
3,507 2,000
Mtoa mada nikajua utaleta ushahidi wa transactions za hayo mafwedha unaleta link za maandishi ambayo hayana tatizo.

Hovyooo.
 
M

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2018
Messages
3,586
Points
2,000
M

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2018
3,586 2,000
Habari zingine ni upumbavu,eti USA leo akitaka kuingamiza Tanzania watamtumia kabendera-stupidity
Kusema ni habari za upumbavu ni understatement. Kama kuna neno linalozidi hapo ndilo linafaa kutumika. Hawa watu wanaamini kila Mtanzania ni mbumbumbu.
 
Washawasha

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Messages
10,646
Points
2,000
Washawasha

Washawasha

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2006
10,646 2,000
Hawa wazungu wanaotupa vipimo na dawa za ukimwi nchi nzima, bure. Hawahitaji mtu mdogo kutuvuruga.
Nchi kama Tanzania siri ziko nje nje huhitaji kumlipa mtu kupata hizo taarifa.
Kama sisi pangu pakavu tunaweza nusa vitu vingi sembuse wao.
Aisee! Kumbe siri ziko nje nje namna hii.😂😂😂
Nalog off
 
Ntolonyonyo

Ntolonyonyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
1,986
Points
2,000
Ntolonyonyo

Ntolonyonyo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
1,986 2,000
Wewe mtoa mada akili yako imeyumba..
Waafrika tunajua sana kurudishana nyuma, kisa huyu jamaa anaandika huko nyie wivu tu....mnabadiribadirisha mashtaka kama vile watu hatuoni....
Acha unafiki na roho mbaya
 
Ndahani

Ndahani

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2008
Messages
15,638
Points
2,000
Ndahani

Ndahani

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2008
15,638 2,000
Swali la huyo yesu wako linahusiana nini na kukamatwa waandishi wa habari?
Hata yesu mwenyewe humjui
Kila mwamba ngozi anavutia kwake. Nakuuliza na wewe ukweli ni kitu gani? Maana kila upande unadai unachoongea ndio ukweli.
Ila mkuu wewe Yesu hakuhusu?
 
Z

ZALEMDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Messages
447
Points
500
Z

ZALEMDA

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2017
447 500
Huyu jamaa kabendera (yani bendera ndogo) ni MTU hatari kwa taifa
 
stroke

stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Messages
17,688
Points
2,000
stroke

stroke

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2012
17,688 2,000
Mkuu nashukuru kwa ufafanuzi kwani sio kawaida kwa kelele zinazopigwa na hayo mataifa makubwa kuhusiana na huyu mtu.
 
Great 4g

Great 4g

Member
Joined
Aug 25, 2016
Messages
33
Points
125
Great 4g

Great 4g

Member
Joined Aug 25, 2016
33 125
Kabla ya kumkosoa au kumpongeza mleta maada kila mmoja ajiulize..
Je anamfahamu kabendera kwa kiwango gani? Je anafahamu masuala ya ujasusi kwa kiwango gani?

Mara nyingi tunatoa comment kwa mihemko (hisia) kitu ambacho ni kibaya sana.
Watu ambao hufanya matukio yanayoweza kuwa na impact ktk nchi au jamii Mara zote huwekeza ktk umaarufu na kuaminika na RAIA. Mfn ukiambiwa bilionea flani, msanii mkubwa, kiongozi flani (bahati mbaya awe si chama tawala) yeyote ktk kundi hilo akausishwa na ujasusi/madawa ya kulevya itachukua muda kuamini na hisia zitakuongoza kusema kabambikiwa kesi au kaonewa.

Kitu unachotakiwa kujua ni kwamba "Usimwamini mtu 100%".
Ujasusi unazingatia sana kuhusu taarifa..na hata nchi zinazoendelea zinafuatiliwa kwa karibu mno na mataifa makubwa. So ili kupata taarifa za nchi hizo wanaweza kupandikizwa waandishi wa habari coz hawa wanauwezo wa kwenda popote, kuhoji nk. Pia wanaweza kupandikizwa watu wakawa viongozi kabisa ktk nchi kumbe wanatumiwa na mataifa mengine.

So sisi tunaweza tukanana, tunaweza peana majina humu Mara kada wa chama flani, Mara Agent wa idara flani, lakini ukweli zaidi watajua vyombo vinavyohusika na hiyo kesi
 
M

murongo munene 2019

Member
Joined
Jul 16, 2019
Messages
88
Points
150
M

murongo munene 2019

Member
Joined Jul 16, 2019
88 150
View attachment 1181099
Erick Kabendera ni mwandishi wa habari anayeishi jijini Dar es salaam ambaye anaandika kwa machapisho ya kimataifa na ya kikanda. Haswa zaidi juu ya siasa za Kitanzania, biashara na Viwanda vya nje, yeye huchangia mara kwa mara katika majarida yafuatayo:-
  • The EastAfrican,
  • The Africa Report (Ripoti ya Afrika),
  • Kitengo cha Ujasusi cha Uchumi (The Economist Intelligence Unit),
  • Jarida la Siri ya Afrika (Africa Confidential)
  • Shirika la habari la maendeleo la kimataifa Inter Press Service.
  • Jarida la The Guardian la Uingereza na
  • Jarida la African Arguments
Kupitia Mashirika haya amekuwa akipitisha pesa kwa jina la Erick Kabebendera ambazo zinatumika kufadhili makundi yenye maslahi kwa mabeberu. Kwa kipindi cha miaka sita Pesa nyingi zimepitishwa kwenye akaunti tofauti zenye uhusiano na Kabendera kama kivuli cha malipo ya kazi za uandishi alizowafanyia.

Kuguswa kwa Kabendera Uingereza, Marekani na Canada zimeguswa, hofu waliyonayo ni kwamba sasa Serikali huenda ikajua kazi ya ziada ya Kabendera ambayo ni Zaidi ya ile ya uandishi wa habari. Inaaminika kwamba Kazi ya ziada ya Kabendera ni kukusanya taarifa za kiiteligensia kwa faida ya mabeberu.

British intelligence agencies
Serikali ya Uingereza inashikilia vyombo vya ujasusi ndani ya idara kadhaa tofauti za serikali. Wakala hao wana jukumu la kukusanya na kutoa taarifa za kigeni na za ndani, kutoa taarifa za jeshi, kufanya uchongamanishi na upinganaji wa nguvu vita ndani ya nchi. Erick Kabendera ni wakala katika shirika hili.
View attachment 1181104

The Canadian Security Intelligence Service (CSIS)
Idara ya Usalama wa taifa wa Canada (CSIS,) / Kwa Kifaransa unaitwa Service canadien du renseignement de sécurité, SCRS

Una jukumu la kukusanya, kuchambua, kuripoti na kusambaza taarifa juu ya vitisho kwa usalama wa taifa wa Canada, na kuendesha shughuli, kufunika na kuzuia, ndani ya Canada na nje ya nchi. Pia inaripoti na kuishauri Serikali ya Canada juu ya maswala ya usalama wa kitaifa na hali ambazo zinahatarisha usalama wa taifa. Erick Kabendera amekuwa akitoa taarifa zake kwenda CSIS chini ya mfuniko wa jarida la The Economist.

Usalama wa taifa la Canada umegawanyika kulingana na majukumu, Canada central intelligence agency, Canada foreign intelligence agency, Canada’s security intelligence agency, Canada defense intelligence agency, Canada military intelligence agency, Canada new intelligence agency.
View attachment 1181103
Chuo cha mafunzo ya usalama wa taifa Canada.

Marekani - The Central Intelligence Agency (CIA)
Idara ya Ujasusi ya Marekani (CIA) ni Idara ya ujasusi ya raia wa serikali ya Merekani, iliyopewa jukumu la kukusanya, kuchakata, na kuchambua habari za usalama wa kitaifa kutoka ulimwenguni kote, kimsingi kupitia matumizi ya akili ya mwanadamu (HUMINT). Kama mmoja wa washiriki wakuu wa Jumuiya ya Ujasusi ya Merika (IC), CIA inaripoti kwa Mkurugenzi wa Ushauri wa Kitaifa na inajikita zaidi katika kutoa taarifa kwa Rais na Baraza la Mawaziri la Merekani.
CIA inapata habari za uchumi za Dunia kupitia jarida la The Economist Intelligence Unit.
View attachment 1181106

Baadhi ya habari za Erick Kabendera
2014
Tanzania: as constitutional reform stalls, Jakaya Kikwete risks losing his legacy – By Erick Kabendera
Zanzibar: CUF populism raises stakes around secession – By Erick Kabendera
In Tanzania, we need to talk about China – By Erick Kabendera

How Tanzania Plans to Light up a Million Homes With Solar Power.
Ni Makala Ya Tarehe 31.10.2015
Inayozungumzia mafanikio katika upatikana wa umeme wa nguvu ya jua vijijini, huku akionyesha umuhimu wa umeme katika Maisha.

https://ourworld.unu.edu/en/how-tanzania-plans-to-light-up-a-million-homes-with-solar-power

2018
Tanzania’s President Magufuli: man of the people, man of the party?
Tanzania: The tentative but rising resistance to Magufuli’s repression

Tanzania’s President Magufuli has been criticised for authoritarianism and repression.
Rais wa Tanzania Magufuli amekosolewa kwa udhalilishaji na ukandamizaji.

African Arguments

https://africanarguments.org/author/erick-kabendera/

Wafadhili wa Kabendera
- Mtandao wa Our World la United Nations University
(https://ourworld.unu.edu/en/)
- UNU Office of Communications
Shibuya-ku, Tokyo 150-8925,
Japan
Kwa taarifa yako CIA ukiacha ubalozi wao kwenye kila nchi waliyopo wana safe house na Black site kibao na hawamhitaji kabendera kujua vitu they have resources, money (us dollar) n very skilled Intel personal aka the SEAL kwa hiyo usituletee upupu wako hapa ukatuona sisi wote ni lumumba buku saba
 
M

murongo munene 2019

Member
Joined
Jul 16, 2019
Messages
88
Points
150
M

murongo munene 2019

Member
Joined Jul 16, 2019
88 150
Kabla ya kumkosoa au kumpongeza mleta maada kila mmoja ajiulize..
Je anamfahamu kabendera kwa kiwango gani? Je anafahamu masuala ya ujasusi kwa kiwango gani?

Mara nyingi tunatoa comment kwa mihemko (hisia) kitu ambacho ni kibaya sana.
Watu ambao hufanya matukio yanayoweza kuwa na impact ktk nchi au jamii Mara zote huwekeza ktk umaarufu na kuaminika na RAIA. Mfn ukiambiwa bilionea flani, msanii mkubwa, kiongozi flani (bahati mbaya awe si chama tawala) yeyote ktk kundi hilo akausishwa na ujasusi/madawa ya kulevya itachukua muda kuamini na hisia zitakuongoza kusema kabambikiwa kesi au kaonewa.

Kitu unachotakiwa kujua ni kwamba "Usimwamini mtu 100%".
Ujasusi unazingatia sana kuhusu taarifa..na hata nchi zinazoendelea zinafuatiliwa kwa karibu mno na mataifa makubwa. So ili kupata taarifa za nchi hizo wanaweza kupandikizwa waandishi wa habari coz hawa wanauwezo wa kwenda popote, kuhoji nk. Pia wanaweza kupandikizwa watu wakawa viongozi kabisa ktk nchi kumbe wanatumiwa na mataifa mengine.

So sisi tunaweza tukanana, tunaweza peana majina humu Mara kada wa chama flani, Mara Agent wa idara flani, lakini ukweli zaidi watajua vyombo vinavyohusika na hiyo kesi
Ww na musiba cyprian hamna tofauti
 
Perrez Amanaya7

Perrez Amanaya7

Member
Joined
Jul 27, 2019
Messages
5
Points
45
Perrez Amanaya7

Perrez Amanaya7

Member
Joined Jul 27, 2019
5 45
Kabla ya kumkosoa au kumpongeza mleta maada kila mmoja ajiulize..
Je anamfahamu kabendera kwa kiwango gani? Je anafahamu masuala ya ujasusi kwa kiwango gani?

Mara nyingi tunatoa comment kwa mihemko (hisia) kitu ambacho ni kibaya sana.
Watu ambao hufanya matukio yanayoweza kuwa na impact ktk nchi au jamii Mara zote huwekeza ktk umaarufu na kuaminika na RAIA. Mfn ukiambiwa bilionea flani, msanii mkubwa, kiongozi flani (bahati mbaya awe si chama tawala) yeyote ktk kundi hilo akausishwa na ujasusi/madawa ya kulevya itachukua muda kuamini na hisia zitakuongoza kusema kabambikiwa kesi au kaonewa.

Kitu unachotakiwa kujua ni kwamba "Usimwamini mtu 100%".
Ujasusi unazingatia sana kuhusu taarifa..na hata nchi zinazoendelea zinafuatiliwa kwa karibu mno na mataifa makubwa. So ili kupata taarifa za nchi hizo wanaweza kupandikizwa waandishi wa habari coz hawa wanauwezo wa kwenda popote, kuhoji nk. Pia wanaweza kupandikizwa watu wakawa viongozi kabisa ktk nchi kumbe wanatumiwa na mataifa mengine.

So sisi tunaweza tukanana, tunaweza peana majina humu Mara kada wa chama flani, Mara Agent wa idara flani, lakini ukweli zaidi watajua vyombo vinavyohusika na hiyo kesi
Iz Critical Analysis mkuu.
 
Forum statistics

Threads 1,326,266
Members 509,458
Posts 32,216,327
Top