Erick Kabendera ni nani na nchi za magharibi zina maslahi gani kwake?

W

Wazo Kuu

Member
Joined
Oct 21, 2018
Messages
38
Points
150
W

Wazo Kuu

Member
Joined Oct 21, 2018
38 150
kabendera-e1392117475683-jpg.1181099

Erick Kabendera ni mwandishi wa habari anayeishi jijini Dar es salaam ambaye anaandika kwa machapisho ya kimataifa na ya kikanda. Haswa zaidi juu ya siasa za Kitanzania, biashara na Viwanda vya nje, yeye huchangia mara kwa mara katika majarida yafuatayo:-
 • The EastAfrican,
 • The Africa Report (Ripoti ya Afrika),
 • Kitengo cha Ujasusi cha Uchumi (The Economist Intelligence Unit),
 • Jarida la Siri ya Afrika (Africa Confidential)
 • Shirika la habari la maendeleo la kimataifa Inter Press Service.
 • Jarida la The Guardian la Uingereza na
 • Jarida la African Arguments
Kupitia Mashirika haya amekuwa akipitisha pesa kwa jina la Erick Kabebendera ambazo zinatumika kufadhili makundi yenye maslahi kwa mabeberu. Kwa kipindi cha miaka sita Pesa nyingi zimepitishwa kwenye akaunti tofauti zenye uhusiano na Kabendera kama kivuli cha malipo ya kazi za uandishi alizowafanyia.

Kuguswa kwa Kabendera Uingereza, Marekani na Canada zimeguswa, hofu waliyonayo ni kwamba sasa Serikali huenda ikajua kazi ya ziada ya Kabendera ambayo ni Zaidi ya ile ya uandishi wa habari. Inaaminika kwamba Kazi ya ziada ya Kabendera ni kukusanya taarifa za kiiteligensia kwa faida ya mabeberu.

British intelligence agencies
Serikali ya Uingereza inashikilia vyombo vya ujasusi ndani ya idara kadhaa tofauti za serikali. Wakala hao wana jukumu la kukusanya na kutoa taarifa za kigeni na za ndani, kutoa taarifa za jeshi, kufanya uchongamanishi na upinganaji wa nguvu vita ndani ya nchi. Erick Kabendera ni wakala katika shirika hili.
8100633358_cc5be508f9_h-640x370-jpg.1181104

The Canadian Security Intelligence Service (CSIS)
Idara ya Usalama wa taifa wa Canada (CSIS,) / Kwa Kifaransa unaitwa Service canadien du renseignement de sécurité, SCRS

Una jukumu la kukusanya, kuchambua, kuripoti na kusambaza taarifa juu ya vitisho kwa usalama wa taifa wa Canada, na kuendesha shughuli, kufunika na kuzuia, ndani ya Canada na nje ya nchi. Pia inaripoti na kuishauri Serikali ya Canada juu ya maswala ya usalama wa kitaifa na hali ambazo zinahatarisha usalama wa taifa. Erick Kabendera amekuwa akitoa taarifa zake kwenda CSIS chini ya mfuniko wa jarida la The Economist.

Usalama wa taifa la Canada umegawanyika kulingana na majukumu, Canada central intelligence agency, Canada foreign intelligence agency, Canada’s security intelligence agency, Canada defense intelligence agency, Canada military intelligence agency, Canada new intelligence agency.
canada-secrety-jpg.1181103

Chuo cha mafunzo ya usalama wa taifa Canada.

Marekani - The Central Intelligence Agency (CIA)
Idara ya Ujasusi ya Marekani (CIA) ni Idara ya ujasusi ya raia wa serikali ya Merekani, iliyopewa jukumu la kukusanya, kuchakata, na kuchambua habari za usalama wa kitaifa kutoka ulimwenguni kote, kimsingi kupitia matumizi ya akili ya mwanadamu (HUMINT). Kama mmoja wa washiriki wakuu wa Jumuiya ya Ujasusi ya Merika (IC), CIA inaripoti kwa Mkurugenzi wa Ushauri wa Kitaifa na inajikita zaidi katika kutoa taarifa kwa Rais na Baraza la Mawaziri la Merekani.
CIA inapata habari za uchumi za Dunia kupitia jarida la The Economist Intelligence Unit.
aerial_view_of_the_central_intelligence_agency_headquarters-_langley-_virginia_-_corrected_and-jpg.1181106Baadhi ya habari za Erick Kabendera
2014
Tanzania: as constitutional reform stalls, Jakaya Kikwete risks losing his legacy – By Erick Kabendera
Zanzibar: CUF populism raises stakes around secession – By Erick Kabendera
In Tanzania, we need to talk about China – By Erick Kabendera

How Tanzania Plans to Light up a Million Homes With Solar Power.
Ni Makala Ya Tarehe 31.10.2015
Inayozungumzia mafanikio katika upatikana wa umeme wa nguvu ya jua vijijini, huku akionyesha umuhimu wa umeme katika Maisha.

https://ourworld.unu.edu/en/how-tanzania-plans-to-light-up-a-million-homes-with-solar-power

2018
Tanzania’s President Magufuli: man of the people, man of the party?
Tanzania: The tentative but rising resistance to Magufuli’s repression

Tanzania’s President Magufuli has been criticised for authoritarianism and repression.
Rais wa Tanzania Magufuli amekosolewa kwa udhalilishaji na ukandamizaji.

African Arguments

https://africanarguments.org/author/erick-kabendera/

Wafadhili wa Kabendera
- Mtandao wa Our World la United Nations University
(https://ourworld.unu.edu/en/)
- UNU Office of Communications
Shibuya-ku, Tokyo 150-8925,
Japan
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
15,997
Points
2,000
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
15,997 2,000
Tukikamata kama hawa wanaopinga maendeleo yanayoletwa na awamu ya 5 tunawadunga tu sindano ya ukichaa-Rc Mbeya

Walimu mnalipwa mshahara na serikali,tukigundua mnashabikia upinzani tunakupiga kesi hata ya ubakaji-Afisa elimu Iringa

Sijui hata imekuaje nimekumbuka hayo maneno,samahani lkn mtoa mada.
 
Nyaru-sare

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2019
Messages
280
Points
250
Nyaru-sare

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2019
280 250
Ni kweli au ndo mmeamua kumbambika na kesi hizi? Awafanyie kazi hao majasusi connection alipata wapi?
Mie mnipe hizo connection muone si ulaji? Tiss walikuwa wapi?
 
Nyaru-sare

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2019
Messages
280
Points
250
Nyaru-sare

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2019
280 250
Kwanza haiji akilini huyu jamaa kutumika hivo. Wakitaka wale wanakuja tu hkn wa kuwazuia
Silaha wanazo zooote
Kwani tanzania nini bana mmetuona watoto wadogo sisi
Njoonimnikamate ujasusi km huu ni huko kotea. China.urusi
Siyo tanzania hata tech/ jia ya kutengeneza vishikizo hawana mfyuuuu! Umetumwa au?
 
Ndahani

Ndahani

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2008
Messages
15,638
Points
2,000
Ndahani

Ndahani

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2008
15,638 2,000
Ni kweli au ndo mmeamua kumbambika na kesi hizi? Awafanyie kazi hao majasusi connection alipata wapi?
Mie mnipe hizo connection muone si ulaji? Tiss walikuwa wapi?
Ukweli ni kitu gani by the way?
 
Ndahani

Ndahani

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2008
Messages
15,638
Points
2,000
Ndahani

Ndahani

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2008
15,638 2,000
Ukweli kinzani by the tar road
Hata Maandiko Matakatifu yanasema Bwana Yesu wakati anateswa aliulizwa swali kama hilo...Ukweli ndio kitu gani???
Kila mtu anaweza kusema anachoongea ndio ukweli wenyewe na isiwe hivyo
 
Nyaru-sare

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2019
Messages
280
Points
250
Nyaru-sare

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2019
280 250
Habari zingine ni upumbavu,eti USA leo akitaka kuingamiza Tanzania watamtumia kabendera-stupidity
Good baelezee baba na mwambie huyu mlamba viatu wa lumumba
Hawajuiga kujipanga.wanaandika kwa wanajazba tuuu!
 
Nyaru-sare

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2019
Messages
280
Points
250
Nyaru-sare

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2019
280 250
Hata Maandiko Matakatifu yanasema Bwana Yesu wakati anateswa aliulizwa swali kama hilo...Ukweli ndio kitu gani???
Kila mtu anaweza kusema anachoongea ndio ukweli wenyewe na isiwe hivyo
Swali la huyo yesu wako linahusiana nini na kukamatwa waandishi wa habari?
Hata yesu mwenyewe humjui
 
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Messages
1,139
Points
2,000
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2014
1,139 2,000
View attachment 1181099
Erick Kabendera ni mwandishi wa habari anayeishi jijini Dar es salaam ambaye anaandika kwa machapisho ya kimataifa na ya kikanda. Haswa zaidi juu ya siasa za Kitanzania, biashara na Viwanda vya nje, yeye huchangia mara kwa mara katika majarida yafuatayo:-
 • The EastAfrican,
 • The Africa Report (Ripoti ya Afrika),
 • Kitengo cha Ujasusi cha Uchumi (The Economist Intelligence Unit),
 • Jarida la Siri ya Afrika (Africa Confidential)
 • Shirika la habari la maendeleo la kimataifa Inter Press Service.
 • Jarida la The Guardian la Uingereza na
 • Jarida la African Arguments
Kupitia Mashirika haya amekuwa akipitisha pesa kwa jina la Erick Kabebendera ambazo zinatumika kufadhili makundi yenye maslahi kwa mabeberu. Kwa kipindi cha miaka sita Pesa nyingi zimepitishwa kwenye akaunti tofauti zenye uhusiano na Kabendera kama kivuli cha malipo ya kazi za uandishi alizowafanyia.

Kuguswa kwa Kabendera Uingereza, Marekani na Canada zimeguswa, hofu waliyonayo ni kwamba sasa Serikali huenda ikajua kazi ya ziada ya Kabendera ambayo ni Zaidi ya ile ya uandishi wa habari. Inaaminika kwamba Kazi ya ziada ya Kabendera ni kukusanya taarifa za kiiteligensia kwa faida ya mabeberu.

British intelligence agencies
Serikali ya Uingereza inashikilia vyombo vya ujasusi ndani ya idara kadhaa tofauti za serikali. Wakala hao wana jukumu la kukusanya na kutoa taarifa za kigeni na za ndani, kutoa taarifa za jeshi, kufanya uchongamanishi na upinganaji wa nguvu vita ndani ya nchi. Erick Kabendera ni wakala katika shirika hili.
View attachment 1181104

The Canadian Security Intelligence Service (CSIS)
Idara ya Usalama wa taifa wa Canada (CSIS,) / Kwa Kifaransa unaitwa Service canadien du renseignement de sécurité, SCRS

Una jukumu la kukusanya, kuchambua, kuripoti na kusambaza taarifa juu ya vitisho kwa usalama wa taifa wa Canada, na kuendesha shughuli, kufunika na kuzuia, ndani ya Canada na nje ya nchi. Pia inaripoti na kuishauri Serikali ya Canada juu ya maswala ya usalama wa kitaifa na hali ambazo zinahatarisha usalama wa taifa. Erick Kabendera amekuwa akitoa taarifa zake kwenda CSIS chini ya mfuniko wa jarida la The Economist.

Usalama wa taifa la Canada umegawanyika kulingana na majukumu, Canada central intelligence agency, Canada foreign intelligence agency, Canada’s security intelligence agency, Canada defense intelligence agency, Canada military intelligence agency, Canada new intelligence agency.
View attachment 1181103
Chuo cha mafunzo ya usalama wa taifa Canada.

Marekani - The Central Intelligence Agency (CIA)
Idara ya Ujasusi ya Marekani (CIA) ni Idara ya ujasusi ya raia wa serikali ya Merekani, iliyopewa jukumu la kukusanya, kuchakata, na kuchambua habari za usalama wa kitaifa kutoka ulimwenguni kote, kimsingi kupitia matumizi ya akili ya mwanadamu (HUMINT). Kama mmoja wa washiriki wakuu wa Jumuiya ya Ujasusi ya Merika (IC), CIA inaripoti kwa Mkurugenzi wa Ushauri wa Kitaifa na inajikita zaidi katika kutoa taarifa kwa Rais na Baraza la Mawaziri la Merekani.
CIA inapata habari za uchumi za Dunia kupitia jarida la The Economist Intelligence Unit.
View attachment 1181106

Baadhi ya habari za Erick Kabendera
2014
Tanzania: as constitutional reform stalls, Jakaya Kikwete risks losing his legacy – By Erick Kabendera
Zanzibar: CUF populism raises stakes around secession – By Erick Kabendera
In Tanzania, we need to talk about China – By Erick Kabendera

How Tanzania Plans to Light up a Million Homes With Solar Power.
Ni Makala Ya Tarehe 31.10.2015
Inayozungumzia mafanikio katika upatikana wa umeme wa nguvu ya jua vijijini, huku akionyesha umuhimu wa umeme katika Maisha.

https://ourworld.unu.edu/en/how-tanzania-plans-to-light-up-a-million-homes-with-solar-power

2018
Tanzania’s President Magufuli: man of the people, man of the party?
Tanzania: The tentative but rising resistance to Magufuli’s repression

Tanzania’s President Magufuli has been criticised for authoritarianism and repression.
Rais wa Tanzania Magufuli amekosolewa kwa udhalilishaji na ukandamizaji.

African Arguments

https://africanarguments.org/author/erick-kabendera/

Wafadhili wa Kabendera
- Mtandao wa Our World la United Nations University
(https://ourworld.unu.edu/en/)
- UNU Office of Communications
Shibuya-ku, Tokyo 150-8925,
Japan
Mkuu thibitisha madai yako wacha kutoa story kwa kuunga unga vitu hapa
 
KeyserSoze

KeyserSoze

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Messages
2,509
Points
2,000
KeyserSoze

KeyserSoze

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2014
2,509 2,000
Polisi wanasapoti Gangsta Rap ''ili uhalifu uongezeke''
Wabana pua kuimba mapenzi ''je itafanya ukimwi usepe''
Media zinapromoti beef ''wanadai zinakuza mziki''
Wadau wana wasanii wabovu ''nyie wakali mtatoka vipi?''
hizi ni PROPAGANDA.. usiulize ni nani?ni yupi?saa ngapi?ilikuaje?na nani?ili iweje?
hizi ni PROPAGANDA.. utaibiwa ukicheza blanda/yule last King of Scotland sio IDD AMIN wa Uganda​
 
hoffman

hoffman

Senior Member
Joined
Jul 21, 2011
Messages
160
Points
250
hoffman

hoffman

Senior Member
Joined Jul 21, 2011
160 250
Habari zingine ni upumbavu,eti USA leo akitaka kuingamiza Tanzania watamtumia kabendera-stupidity
Mkuu, unafikiri kwa nini mababu yetu waliweza kutawaliwa? Ni kwa sababu kulikuwa kuna mababu zetu wengine walikuwa upande wa wazungu. Hivyo hivyo kwa sasa ili ni lazima watumie watu ili waweze kutonyonya vizuri au kutuvamia vizuri.
 
Qwy

Qwy

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2018
Messages
1,147
Points
2,000
Qwy

Qwy

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2018
1,147 2,000
Wazungu hata bila ya ushirikiano wa 'puppets' wangetutawala tu, walikuwa wametuzidi kila kitu(ujanja, silaha na mbinu za kivita)
Tukiwa bado tunaishi kiporipori walikuwa tayari wanauwezo wa kusafiri across the globe.
Hizo propaganda mnazokuja nazo eti wanamtumia Kabendera they're so cheap na hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuwa deceived, they've agents(professionals) kila kona ya dunia, na upashanaji habari za kijasusi si wa kupitia magazeti na majarida.
Mkuu, unafikiri kwa nini mababu yetu waliweza kutawaliwa? Ni kwa sababu kulikuwa kuna mababu zetu wengine walikuwa upande wa wazungu. Hivyo hivyo kwa sasa ili ni lazima watumie watu ili waweze kutonyonya vizuri au kutuvamia vizuri.
 
double R

double R

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Messages
1,907
Points
2,000
double R

double R

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2011
1,907 2,000
Hawa wazungu wanaotupa vipimo na dawa za ukimwi nchi nzima, bure. Hawahitaji mtu mdogo kutuvuruga.
Nchi kama Tanzania siri ziko nje nje huhitaji kumlipa mtu kupata hizo taarifa.
Kama sisi pangu pakavu tunaweza nusa vitu vingi sembuse wao.
 
Qwy

Qwy

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2018
Messages
1,147
Points
2,000
Qwy

Qwy

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2018
1,147 2,000
View attachment 1181099
Erick Kabendera ni mwandishi wa habari anayeishi jijini Dar es salaam ambaye anaandika kwa machapisho ya kimataifa na ya kikanda. Haswa zaidi juu ya siasa za Kitanzania, biashara na Viwanda vya nje, yeye huchangia mara kwa mara katika majarida yafuatayo:-
 • The EastAfrican,
 • The Africa Report (Ripoti ya Afrika),
 • Kitengo cha Ujasusi cha Uchumi (The Economist Intelligence Unit),
 • Jarida la Siri ya Afrika (Africa Confidential)
 • Shirika la habari la maendeleo la kimataifa Inter Press Service.
 • Jarida la The Guardian la Uingereza na
 • Jarida la African Arguments
Kupitia Mashirika haya amekuwa akipitisha pesa kwa jina la Erick Kabebendera ambazo zinatumika kufadhili makundi yenye maslahi kwa mabeberu. Kwa kipindi cha miaka sita Pesa nyingi zimepitishwa kwenye akaunti tofauti zenye uhusiano na Kabendera kama kivuli cha malipo ya kazi za uandishi alizowafanyia.

Kuguswa kwa Kabendera Uingereza, Marekani na Canada zimeguswa, hofu waliyonayo ni kwamba sasa Serikali huenda ikajua kazi ya ziada ya Kabendera ambayo ni Zaidi ya ile ya uandishi wa habari. Inaaminika kwamba Kazi ya ziada ya Kabendera ni kukusanya taarifa za kiiteligensia kwa faida ya mabeberu.

British intelligence agencies
Serikali ya Uingereza inashikilia vyombo vya ujasusi ndani ya idara kadhaa tofauti za serikali. Wakala hao wana jukumu la kukusanya na kutoa taarifa za kigeni na za ndani, kutoa taarifa za jeshi, kufanya uchongamanishi na upinganaji wa nguvu vita ndani ya nchi. Erick Kabendera ni wakala katika shirika hili.
View attachment 1181104

The Canadian Security Intelligence Service (CSIS)
Idara ya Usalama wa taifa wa Canada (CSIS,) / Kwa Kifaransa unaitwa Service canadien du renseignement de sécurité, SCRS

Una jukumu la kukusanya, kuchambua, kuripoti na kusambaza taarifa juu ya vitisho kwa usalama wa taifa wa Canada, na kuendesha shughuli, kufunika na kuzuia, ndani ya Canada na nje ya nchi. Pia inaripoti na kuishauri Serikali ya Canada juu ya maswala ya usalama wa kitaifa na hali ambazo zinahatarisha usalama wa taifa. Erick Kabendera amekuwa akitoa taarifa zake kwenda CSIS chini ya mfuniko wa jarida la The Economist.

Usalama wa taifa la Canada umegawanyika kulingana na majukumu, Canada central intelligence agency, Canada foreign intelligence agency, Canada’s security intelligence agency, Canada defense intelligence agency, Canada military intelligence agency, Canada new intelligence agency.
View attachment 1181103
Chuo cha mafunzo ya usalama wa taifa Canada.

Marekani - The Central Intelligence Agency (CIA)
Idara ya Ujasusi ya Marekani (CIA) ni Idara ya ujasusi ya raia wa serikali ya Merekani, iliyopewa jukumu la kukusanya, kuchakata, na kuchambua habari za usalama wa kitaifa kutoka ulimwenguni kote, kimsingi kupitia matumizi ya akili ya mwanadamu (HUMINT). Kama mmoja wa washiriki wakuu wa Jumuiya ya Ujasusi ya Merika (IC), CIA inaripoti kwa Mkurugenzi wa Ushauri wa Kitaifa na inajikita zaidi katika kutoa taarifa kwa Rais na Baraza la Mawaziri la Merekani.
CIA inapata habari za uchumi za Dunia kupitia jarida la The Economist Intelligence Unit.
View attachment 1181106

Baadhi ya habari za Erick Kabendera
2014
Tanzania: as constitutional reform stalls, Jakaya Kikwete risks losing his legacy – By Erick Kabendera
Zanzibar: CUF populism raises stakes around secession – By Erick Kabendera
In Tanzania, we need to talk about China – By Erick Kabendera

How Tanzania Plans to Light up a Million Homes With Solar Power.
Ni Makala Ya Tarehe 31.10.2015
Inayozungumzia mafanikio katika upatikana wa umeme wa nguvu ya jua vijijini, huku akionyesha umuhimu wa umeme katika Maisha.

https://ourworld.unu.edu/en/how-tanzania-plans-to-light-up-a-million-homes-with-solar-power

2018
Tanzania’s President Magufuli: man of the people, man of the party?
Tanzania: The tentative but rising resistance to Magufuli’s repression

Tanzania’s President Magufuli has been criticised for authoritarianism and repression.
Rais wa Tanzania Magufuli amekosolewa kwa udhalilishaji na ukandamizaji.

African Arguments

https://africanarguments.org/author/erick-kabendera/

Wafadhili wa Kabendera
- Mtandao wa Our World la United Nations University
(https://ourworld.unu.edu/en/)
- UNU Office of Communications
Shibuya-ku, Tokyo 150-8925,
Japan
Cheap blah blah, try harder. Habari zote ulizotumia kama reference points ni habari zinazostahili ili dunia ijue, kule tunakoenda kutembeza bakuli kila mara lazima wajue tunaishije.
Kujaribu kutafuta justification ya kumuweka ndani baada ya kesi aliyokamatiwa(immigration case) kubuma ni kukosa haya kusikoelezeka.
 
Forum statistics

Threads 1,326,262
Members 509,458
Posts 32,216,147
Top