Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

Hakuna Haja Ya Mahakama Kama Kabla Mtu Kuthibitika Kutenda Kosa Anatakiwa Kulipa Kiasi Cha Hela Aachiwe,awamu Ya5 Mambo Hovyo.
 
Nyie pigeni porojo JF, lakini mfahamu kuna watu wanaishi Tanzania ya kusadikika. Nini USD approx. 75,0000 au £58,000 kwa Kabendera and co.?

''On the tax evasion charge, he agreed to pay $75,000 (£58,000) within six months. On the money laundering charge, he has already paid a fine of $43,000.

''He also had to pay $108 for his immediate release. Amnesty International had previously described his arrest as "an assault on press freedom", but the government insists it is committed to press freedom. The journalist, who has a reputation for holding the authorities to account in his articles, has written for several British publications, including The Independent, The Guardian and The Times, as well as for newspapers in Tanzania and the wider region.''
 
Katika hili Mabeberu wameshinda
Hakika katika awamu hii ya tano, kila aina ya utapeli/ulaghai tumeuona.

Haijawahi kabisa kuwepo na serikali yenye sarakasi kama hii ya sasa.

Kinachoshangaza ni kuona kwamba bado wanaamini waTanzania hawana akili za kuyajua haya mambo yanavyofanywa kwa mbinu za kishamba.
 
Hua nakaa nikisubir watu mkubali ukweli hata kwa siku moja mana tabia yenu ndio Ile Ile ilofanya wanafunzi wa yesu kukataa kuamin Nini yesu anawaambia na kuamin wanavyo taka wao mfano yesu alipokua anasema yeye mtu wao wakaendelea kumwita mungu hata pale yesu alipo Sema naenda kwa baba steal wao wakasema yeye ndio baba mtu amesha tubu why hamtak kukubali ingekua ni fake bas angekubali toka mapema ila alitaka kusubir subir ahad za kina Zito akihis zitamsaidia mwisho wakamkimbia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Ole
Dah! Yaani mnavyojadili maoni ya mtoa mada kama ndio ukweli wenyewe, kumbe mtu kajikalia zake na kuwaza tu, inasikitisha sana.

Mnajua kisheria kukiri kosa ni mbaya sana kwa rekodi? Hainaga rufaa wala kufutwa. Ndio nitolee hiyo. Sasa Erick kukiri makosa makubwa hayo mnajua implication yake hata kwenye kazi zake huko baadae?

Mnadhani mzee Rugemalira ni mjinga kugoma kukiri makosa?

Tunapokea mambo kwa hisia sana.
 
JPM hana mchezo mchezo, akimaliza muda wake kuitawala Tanzania tutaheshimiana. Wacha wapiga zumari waendelee kipiga.
 
Ole, Mtu aliepigania dawa za kumtibu mama yake leo mnamlipisha hayo ma- figure ya kutengeneza mnadhani mnamdanganya nani?!

Ni kesi ngapi za uhujumu uchumi zilizotolewa hukumu mahakamani kulinganisha na idadi ya watuhumiwa wa hizo kesi? huoni kama hayo ni makosa ya kutengeneza!, unaimba JPM..JPM..JPM..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Idiot, mtu aliepigania dawa za kumtibu mama yake leo mnamlipisha hayo ma- figure ya kutengeneza mnadhani mnamdanganya nani?!

Sent using Jamii Forums mobile app

On your dreams mate, continue to dream.

BTW kama hufahamu Kabendera alikwisha plea bargain muda mrefu ni, kwamba ilikuwa inafanyika hesabu. Wewe endelea kuota hapa JF.
 
Je, kwa tukio hili, kuna siku Kabendera atautoa ukweli wote, au na yeye atabaki nao moyoni, lakini nje akionekana kushangilia kama wengine walivyofanya.

Hapa namkumbuka Mo, Lowassa, Sumaye, n.k.

Kama mwandishi mzuri ningemshauri aandike kitabu kitakachochapishwa miaka kadhaa ijayo baada ya hawa watu wa ajabu wakishaondoka madarakani.

Hicho kitabu ajaribu pia kuunganisha na ya hawa wenzake na wengi wengine waliopita na watakaopitia kwenye tanuru hilo.
 
Back
Top Bottom