Half Genious
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 491
- 784
Juz ndio nilipiga mstari wa kichwa cha habari hapo juu jamaa hana jokes mpya miaka yote anasimulia vitu hivyo hivyo anadhan anakutana na watu wapya kila siku wapenz wa comedy ndio wale wale jokes zake sijui za kusikiliza mlio wa ATM tangu alivyokuja all white party anaisimulia hiyo hiyo mara anaota hela halafu anarudisha bank hiyo tangu akiwa charchill au ya wanaume wa kenya kutokuwa romantac kupitia nyimbo zao sijui nani hajawahi kuyasikia na juzi kayarudia yale yale ukienda youtube yale yale...sion ubunifu nakiri kusema asipobadilika atafute shughuli nyingine ya kufanya