Eric James Shigongo, pls 2015 gombea ubunge Buchosa kwa tiketi ya CDM

huyu jamaa haitakii vyema jamii yetu.....magazeti yake yanawatia ujinga jamii lakini yeye hajali anachojali ni pesa tu......haina tofauti na unga
 
Duh! Shigongo akitokea kuwa mbunge kwenye jimbo ninaloishi nahama jimbo!
 
duh,huyu si ndio anaekula kwa mgongo wa msiba wa kanumba(RIP)???maana hadi leo kanumba ndio headline kwa magazeti yake
 
ingawa kuna movement ya vua gamba vaa gwanda,lakini sio huyu muuza unga kupitia magazeti
 
Tusivunje mioyo wapiganaji wetu waliokatika chama muda mrefu kwa kukaribisha magamba kuja kupatia ubunge CHADEMA. Buchosa kuna wapiganaji wengi ambao wamekuwa na CDM miaka mingi na wanafaa kuwa viongozi. Shigongo na magamba wengine kuja CDM is ok but tuwape nafasi kwanza wapiganaji walioifikisha CDM hapa ilipo.
 
nani acye jua wanabushosa wanampenda dr tizeba? ndyo mana wakampitisha kwa kura nyingi hizi hbr za wizi wa kura zinatoka wapi? mbna akuna aliyelalamika kuibiwa kura?
 
Maombi mengine yanaweza kufukua na mengine ambayo watu walikua hawataki kuyasema! Vipi na Dar Live? ziko tetesi za umiliki wenye utata! inabidi aweke wazi hata kabla hajaomba kujiunga na CDM, kozi watu wanao tumiwa na Mafisadi na Mafisadi hawana nafasi CDM. Usafi na ubora wa mtu alie ma mali unapimwa kwa kujipatia mali kwa njia halali
 
shigongo huyu?
Anayeharibu vijana wetukwa magazeti yake yaliyojaa udaku na ngono?

Hapo chadema kitakuwa kimekosa dira....


Mkuu huyu jamaa kwa maadili ya kitanzania hafai kabisa, ashukuru mungu serikali ni weak, vinginevyo angekuwa gerezani, sasa wajinga wengine wanafikiria aende bungeni.
 
CDM wanataka watu makini si watu wanaoishi kwa siasa za kina Masaburi na Lusinde, hatutaki siasa za kidaku za mtu mzima kuishi kwa kufuatilia maisha binafsi ya watu na kutoa vijalida vilivokosa adabu na heshima mbele ya waungwana na kunyonya wasanii kwa mbinu za eti ana wapromote, hii haikubaliki CDM huu ni Ufisadi tu kama wa Downs
 
Shigongo, ana sifa tu labda ya kuwa Jaji kwenye mashindano ya ulimbwende maana yeye walimbwende wa Bongo picha zao anazo.
Tafadhalini jamani tusiinajisi siasa, siasa siyo kichaka cha kukimbilia wahuni na pambio la shetani kama Shigongo. na wewe uliyetumwa rudisha jibu kwa Eric Shigongo mueleze JF siyo kijiwe cha wapashukuna kama yeye kuleta Propaganda uchwara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom