Erasto Tumbo atangaza nia ya kugombea uenyekiti wa mkoa wa Shinyanga

Acha kumchafua Tumbo,wivu unakusumbua
Sasa wewe nikimuonea wivu tumbo, yaani mimi nimuonee wivu mwanasiasa mfu, kama alipewa ubunge kule kisesa na hana hata kisima anachoweza kujivunia kuwa alisimamia kikachimbwa sasa mimi nimuonee wivu wa nini sasa? labda tu kwa taarifa huyo mtu unayedai kuwa mimi namuonea wivu hatakuja hata kupata uenyekiti wa kitongoji maishani kwa sababu hana uwezo, kama ni nafasi ya kuteuliwa anaeza pata ila ikhitaji kura tu hata akishindana na jiwe ameshindwa
kabla hujaomba uongzi wowote sehemu yoyote jiangalie kwanza maana unaweza kuwa fedheha mbele zA WATU na wewe dada unayempigia debe Tumbo imekula kwako , ni Bora ya Obama wa shinyanga awe mwenyekiti kuliko Tumbo, wanashinyanga wanamjua Obama
 
:lol:
Tunashukuru kwa taarifa lakini the way ulivyowasilisha taarifa inaonekana kama vile hutaki apate huo Uenyekiti maana umeongelea mabaya yake tuuuuuuu bila hata kuweka mazuri yake
.
 
Kutangaza siyo kushinda najua hawezi shinda kwa sababu siyo hata kidogo. Na pia haaminiki
 
Back
Top Bottom