X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 9,648
- 12,216
kwa keshia ipo hivyo kweli...ata mimi iliwahi kunitokea nilitamani kuandamana...tena nilitoa 70k....tu harafu nilikuwa na 75k ghafra nikashangaa narushiwa meseji kuwa 4000 imekatwa...nilishikwa na butwaa...nikamlaum sana mtoa huduma kwa kutokunielewesha kabla sijafanya muamalaUtakuwa uko sahihi kwa makato ya Visa. Ila kwa Equity Wakala na kwa Cashier ni tofauti.
Mara ya mwisho nimetoa Tsh 260,000 Equity kwa Cashier, wamekata Tsh 4,000.