Grena
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 657
- 1,542
Habari zenu wakuu,
Tangu hili swala la tozo za miamala liongezeke Mimi Binafsi nimeacha kutumia miamala kwenye sim na kuhamisha majeshi benki.
Bank yangu ya miaka yote Ni Equity lakini shida inakuja hawana ATM nyingi Yani Hadi uwafate ATM za kwenye branch zao.
Kama wakazi wa Mbezi beach/Tegeta/Bunju NMB kunaATM Kama 3 sehemu tofauti tofauti lakini Equity Hadi uende mwenge ndo Utapata huduma za ATM otherwise utumie maagent ambao nao gharama zao za kutoa Ni kubwa.
Jamani Equity jiongezeni bank Kama NMB, CRDB wamesambaza ATM kila mahali unampa urahisi mteja wa kutoa hela zake, sio nifunge safari kilometer kadhaa kutafuta ATM.