Equity Bank mnatuangusha sana kwenye online payment refunds

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,201
2,000
Am so disapointed with equity bank inapokuja issue ya online payments kwa platform salama ya paypal.

Some times ukifanya manunuzi yaweza tokea hujapata bidhaa ama muuzaji kaishiwa bidha hivyo inabidi paypal wakurudishie pesa yako (REFUND).

zamani ukipewa refund ya paypal pesa ilikuwa inarudi kwenye account ya benki automatically, Siku hizi hali imekuwa tofauti kabisa kwani inakulazimu uende physically kwenye tawi lao ujaze fomu then usubiri wakurefund na mbaya zaidi kuna refunds zangu zilitumia zaidi ya wiki ili zirudishwe kweny account ya equity.

Kuna benki kama mbili za ziada natumiaga kufanya online transactions na ikitokea kuna refunds pesa huwa inarudishwa kwenye account ya benki automatically ndani ya muda mfupi bila kwenda kujaza fomu kweny matawi.

This type of bureacratic process yaweza kuwa muhimu kutekeleza quality controll policies za refunds lakini kiuhalisia hii kitu inatuumiza sana wateja kiasi cha kuanza taratibu kutumia benki nyingine ili kukwepa hii kero ya kujaza fomu na kusubiria kwa muda mrefu pesa irudi kwenye account, Tunawaomba mtatue hii kero
 
Pounds1000

Member
Aug 1, 2017
41
95

Izo benki kama 2 za ziada ni zipi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom