Equit bank tawi la Mwenge ni kero

Gospel Preacher

JF-Expert Member
Jan 17, 2018
233
263
Habari zenu ndugu zangu, napenda kufikisha kero zangu kwa uongozi wa Equit bank tawi la mwenge kwa wafanyakazi mjirekebishe maana mmezidi uvivu na kutegeana, kazi kama wafanyaka ni wachache fanyeni muajiri watu wanasaka hajira mtaani.
Acheni uvivu na kutegeana utakuta wafanyakazi mapokezi mnaa wanne alafu section nyingine ni foleni na hakuna mtu.
 
Uongozi wa equity bank haupo humu jamiiforums
Ni vyema ungepeleka malalamiko yako kwenye sanduku la maoni
 
Hawana sanduku, na humu wapo na ujumbe umefika niamini mm nakwambia tayari wamesha wekana chini. Jf ni forum nzuri sana kwa taarifa
 
Habari zenu ndugu zangu, napenda kufikisha kero zangu kwa uongozi wa Equit bank tawi la mwenge kwa wafanyakazi mjirekebishe maana mmezidi uvivu na kutegeana, kazi kama wafanyaka ni wachache fanyeni muajiri watu wanasaka hajira mtaani.
Acheni uvivu na kutegeana utakuta wafanyakazi mapokezi mnaa wanne alafu section nyingine ni foleni na hakuna mtu.
Kuna sanduku la maoni pale kwao. Ungeandika kero hio na kuisweka kunako sanduku
 
Habari zenu ndugu zangu, napenda kufikisha kero zangu kwa uongozi wa Equit bank tawi la mwenge kwa wafanyakazi mjirekebishe maana mmezidi uvivu na kutegeana, kazi kama wafanyaka ni wachache fanyeni muajiri watu wanasaka hajira mtaani.
Acheni uvivu na kutegeana utakuta wafanyakazi mapokezi mnaa wanne alafu section nyingine ni foleni na hakuna mtu.
pole sana ndugu. maoni yako tutayafanyia kazi.
 
Back
Top Bottom