Equatorial guinea has GDP of $30,000 lakini bado masikini wa kutupwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Equatorial guinea has GDP of $30,000 lakini bado masikini wa kutupwa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Rubabi, Mar 21, 2008.

 1. R

  Rubabi Senior Member

  #1
  Mar 21, 2008
  Joined: Nov 30, 2006
  Messages: 174
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata kama nchi ina natural resources kiasi gani kama kuna corruption,nchi haifiki popote, angalia mfano wa equotorial guinea.


  Equotorial Guinea is a small country at the west coast of Central Africa. Despite a per capita GDP (PPP) of more than US$30,000 [1] (CIA Factbook $50,200[2]) which is as of 2006 the fourth highest in the world, Equatorial Guinea ranks 121st out of 177 countries on the United Nations Human Development Index.

  In July 2004, the US Senate published an investigation into Riggs Bank, a Washington-based bank into which most of Equatorial Guinea's oil revenues were paid until recently, and which also banked for Chile's Augusto Pinochet. The Senate report, as to Equatorial Guinea, showed that at least $35 million were siphoned off by Obiang, his family and senior officials of his regime. The president has denied any wrongdoing. While Riggs Bank in February 2005 paid $9 million as restitution for its banking for Chile's Augusto Pinochet, no restitution was made with regard to Equatorial Guinea, as reported in detail in an Anti-Money Laundering Report from Inner City Press.[15]
   
 2. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2008
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,275
  Trophy Points: 280
  Mkuu,

  Haka ka-nchi haka Equatorial Guinea ni ka tatu katika Afrika kwa uzalishaji mafuta.

  Kuhusu GDP ntatofautiana kikwa kiasi kikubwa na data zako kwani kwa mujibu wa data za idara ya nishati ya USA mwaka 2001 tu, ka-nchi haka kalikuwa na GDP ya dolari bilioni 1.85 za Marekani. Sasa unafikiri mpaka sasa miaka saba imepita itakuwa na kiasi gani?

  Raisi fisadi Obiang alichukua madaraka baada ya kumuua mjomba wake na katika familia yake watu wanamezea mate nafasi hio adimu duniani kwani inasemekana hali ya kiafya ya rais huyo si nzuri.

  Nchi hio ina wasiozidi 500,000 na inapata mapipa 350,000 ya mafuta kila siku. Pia nchi hio ina hifadhi (narudia -hifadhi) zaidi ya mafuta ambayo yanakadiriwa (na hii idara ya nishati ya USA) kufikia asilimia kumi ya mafuta katika hifadhi zote duniani.

  Wananchi wa Equatorial Guinea wanaishi maisha duni ya ufukara wa milele ilhali raisi wao Obiang amekwishawekeza fwedha huko USA (uhakika wa kuzirudiha haupo) na hana shida kuhusu dua za kuku.

  Haya ndio mambo ya watu fisadi.

  NB:

  Hapo baadae ntakuwa nawaelezea viongozi mafisadi zaidi na wanafiki, akiwemo rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ambae pamoja na kupigizana kelele na nchi za magharibi lakini yeye mwenyewe anasomesha mtoto wake wa kike Ulaya.
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Mar 22, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Unaona sasa....Ndivyo Tulivyo!!
   
 4. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Tutofautishe GDP na GDP Per Capita.GDP Per Capita inapatikana kwa kuchukua GDP na kuigawanya kwa idadi ya wananchi kwa hiyo kama GDP ni dola 1.85 or 1.5 za kimarekani na watu ni 500,000 then utaona kadirio la chini la GDP Per Capita kutoka GDP ya 1.5 Billion litakuwa US $ 30,000.

  GDP per capita is a poor indicator of development because it is an average and may not reflect income distribution.In such economies as that of Equetorial Guinea it is not unheard of for one man, usually the president, or the president and his henchmen to have 99 of the GDP.

  For example, if the president has 1.45 billion of the total 1.5 billion then the rest of the population will divide 50 million.If you remove one person, the president, from the equation this will give a more reflective GDP per capita of 100 $.

  Swala muhimu kuliko GDP na GDP Per capita ni jinsi gani GDP hiyo ilivyo distributed kuna measurements tofauti kama Gini coefficient zinazojaribu kupima income distribution.
   
 5. R

  Rubabi Senior Member

  #5
  Mar 22, 2008
  Joined: Nov 30, 2006
  Messages: 174
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekupata nyani,

  Kama viongozi wa nchi hii wangekuwa wanaona mbali,Guinea ingekuwa switzerland ya affrika,kwanza idadi ya watu ni ndogo kwahiyo potential ya kuiindeleza ni kubwa sana.Lakini well, kama kaida yetu waafrika, sijui ni tamaa sijui ni nini.

  Nchi nyingine ya kuangalia ni Angola.Angola sasa ni ya pili kwa kuzaa mafuta Afrika na kuna amani.Lakini inaelekea elites wa nchii hii wamejisahau, na Angola is one of the most corrupt country in the World.

  Kwa hiyo usishangae ukiona faida zote za mafuta zinaishia kwenye akaunti za wakubwa huku wananchi wa kawaida wanakufa kwa njaa.

  Mpaka sasa hakuna maendeleo ya maana yaliyokwisha onekana kwa watu wa kawaida Angola.

  Ni aibu.

  Hii ndio Afrika yetu.
   
 6. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2008
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  viongozi wao kama walivyo na wengine, wanakula wakati wananchi wanataabika!
   
 7. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2008
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hivi ni nini kilamfanya Sir Seretse Khama to do what he did for Botswana. Was he an angel? NO! Sasa whats stopping our kikwete dearest to do the same?? Kikwete is sitting on a legacy that can go one way or the other!!

  Embu tuone Botswana!!

  "At the time of its independence, Botswana was among the world's poorest countries. Tax revenues proved insufficient to cover the costs of government, forcing Botswana into heavy debt with Britain. The foreign policy situation was similarly bleak; trapped between the aggressive white minority governments of apartheid South Africa and Rhodesia, most observers believed that Botswana would have little choice but to become a satellite state to one or the other.[citation needed]

  Khama set out on a vigorous economic program intended to transform Botswana into an export-based economy, built around beef, copper, and diamonds. The 1967 discovery of Orapa's enormous diamond deposits particularly aided this program, and between 1966 and 1980 Botswana had the fastest growing economy in the world. Much of this money was reinvested into infrastructure, health, and education costs, resulting in further economic development. Khama also instituted strong measures against corruption, the bane of so many other newly-independent African nations." (from wikipedia)

  Botswana has diamonds
  Tanzania has diamonds (not as much) but we have a lot of gold, uranium, Tanzanite..and abundance of land for grazing and agriculture..plus we have a coast , game parks etc etc

  Sometime inauma kweli..Equitorial New Guinea, Nigeria to me are failed african states!!...controlled by the greedy..It seems Tanzania is following their moves than the moves of botswana!!

  :-(
   
 8. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  I will give Sir Khama credit for being democratic and not embracing nepotism, but other than that the situation was not that much different.The Bushmen did not enjoy the upswing of Botswana's economy, one has to look at the somewhat exaggerated but model conditions in "The Gods Must Be Crazy" to see what conditions in rural Botswana were like.Up to now a large portion of Botswanas population is still illiterate, for a population that just reached 1 million (The entire population of Botswana is less than that of Dar) if Sir Khama was really commited to do wonders he had a good chance of doing it.

  I guess the African leaders are of the opinion that if these poor subsistent peasants could exist under these sub human conditions for millions of years they can do so for a few more years at the profit of the ruling class.
   
 9. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2008
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  How come you have based your entire argument with reference to bush men?? wot a cheap shot! Kosoa the economy, health and education....education is free in botswana from primary to phd..wats stopping the bush men from acting??
   
Loading...