bendaki
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 952
- 346
Equation ya maisha ya Watanzania ndani ya miezi mitano ya serikali ya tano: Nidhamu ya watumishi + Nidhamu ya ukusanyaji mapato + Nidhamu ya matumizi + Upindifu wa demokrasia Zanzibar, ubaguzi na utawala wa kulazimisha + Mipasho kwa Wapinzani= Matumaini kibao kwa wananchi + kipato kwa wanaoji ajiri kipato kiduchu + maisha magumu + ? + ? + ... (Jazia ili tubalance equation).