Toba!!! Kweli tungekua tunatishwa na ajali basi ungekuta uendeshaji wetu umebadilika na ajali nakuna!! Leo tunaona hii picha na muda huu tutaingia Bara Barani na speedometer itasoma 180!!!! wakati tumetoka kupata moja mbili tatu na foleni hakuna sasa unaipaisha kama baloon!!!
Unajitahidi sana kamanda,ila ingependeza ukarudi nyuma kidogo ukaanzie pale Kisongo kuja huko mbele na bila shaka ukifika CMC majibu yako yatapatikana katika mwendo huo huo! Hapo ndio utacheka kha ha ha ha ha ha ha haaaaaa!!
Ila nimegundua hii speedometer na dashboard si ile ya gari iliyoonyeshwa na jamaa aliyekufa. Kwanza mishare ya spidi haikai juu baada ya gari kupiga mzinga, inarudi kwenye zero.
Kwa hiyo hatujui mkama huyu dereva alikufa kwa ajili ya speed, au labda aligongwa na dereva mwingine mzembe, nk.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.