epukana na mwendo kasi!jali maisha yako na ya familia yako!

pageup

Senior Member
Oct 12, 2012
156
59
polepolendiomwendo1.jpg polepolendiomwendo2.jpg
 
Toba!!! Kweli tungekua tunatishwa na ajali basi ungekuta uendeshaji wetu umebadilika na ajali nakuna!! Leo tunaona hii picha na muda huu tutaingia Bara Barani na speedometer itasoma 180!!!! wakati tumetoka kupata moja mbili tatu na foleni hakuna sasa unaipaisha kama baloon!!!
 
Unajitahidi sana kamanda,ila ingependeza ukarudi nyuma kidogo ukaanzie pale Kisongo kuja huko mbele na bila shaka ukifika CMC majibu yako yatapatikana katika mwendo huo huo! Hapo ndio utacheka kha ha ha ha ha ha ha haaaaaa!!


Hapo ilikuwa njia ya toka duka Mbovu kuitafuta njia panda ya
monduli

 
View attachment 71558

Hapo vipi hii nayo hatari??!! Ilibaki kidogo nimalize!

Ila nimegundua hii speedometer na dashboard si ile ya gari iliyoonyeshwa na jamaa aliyekufa. Kwanza mishare ya spidi haikai juu baada ya gari kupiga mzinga, inarudi kwenye zero.

Kwa hiyo hatujui mkama huyu dereva alikufa kwa ajili ya speed, au labda aligongwa na dereva mwingine mzembe, nk.
 
That's complete photoshopping! A nice piece of work. I can't believe this. No body can be dead and yet be alive!
 
Back
Top Bottom