Epuka utapeli

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,279
25,857
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA
NA UTAWALA BORA
TAHADHARI
EPUKA UTAPELI
KUMEKUWA NA UTAPELI UNAOFANYWA KWA
WATUMISHI WA UMMA KUPITIA SIMU ZA MKONONI
KWA KUOMBWA KUWEKA MIADI (APPOINTMENT) NA
WATU WANAODAI KUFANYA KAZI NA SERIKALI. HATA
HIVYO, MIADI HIYO HAWAITEKELEZI BALI HUTUMIA
KAMA NJIA YA UTAPELI. NAMBA ZILIZOBAINIKA
KUTUMIWA NI 0672091088 NA 0763183813.
OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA
NA UTAWALA BORA INAWATAHADHARISHA
WATUMISHI WA UMMA NA WANANCHI KUWA MAKINI.
IMETOLEWA NA; Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
 
Back
Top Bottom