Epson L800 Printer Inahitajika

Status
Not open for further replies.

loykeys

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
1,175
908
Habari wadau,

Husika na kichwa hapo juu, mwenye printer aina ya Epson l800 iwe mpya au mtumba iliyo katika hali nzuri naomba aje inbox tufanye biashara ninahitaji.

Wasaalam...!
 
Habari wadau,

Husika na kichwa hapo juu, mwenye printer aina ya Epson l800 iwe mpya au mtumba iliyo katika hali nzuri naomba aje inbox tufanye biashara ninahitaji.

Wasaalam...!
Ikihitajika Epson L220 ambayo iko kwenye hali nzuri kabisa nitaarifu nikuuzie.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom