EPL: Arsenal sasa yaburuza mkia , yawa nafasi ya ishirini katika msimamo wa timu 20

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
89,672
2,000
Ni vema ukafahamu jambo hili mapema ili usije ukapata matatizo ya kiafya, kwamba timu iliyokuwa inapigania ubingwa leo hii inaburuza mkia , hii ni baada ya game 3 tu.

Wachambuzi wanaitabiria kushuka daraja .
 

Mkalapa boy

Member
Aug 19, 2021
26
75
Ila Mashabiki wa Arsenali waliopo UK ni matrackle kwanini wasifanye riot Kama Man U vile kumtimua mwekezaji.Jahazi ndo linazama hilo
 

FORTALEZA

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
9,053
2,000
Interesting...

FDD1B3AE-E1C1-4339-8CEA-F9E484CB3FD9.jpeg
 

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
5,413
2,000
Trust the process...Arteta ni kocha kijana mwenye mbinu bora za kisasa katika mashambulizi na kujilinda...apewe muda ajenge kikosi kinachoendana na falsafa zake huku akiondoa makapi yasiyoendana na mfumo wake wa kisasa.
Anaweza akafungwa mechi mbili za mwanzo na kushinda mechi nyingine 30 na kuwa bingwa🤣
 

Prince Kunta

JF-Expert Member
Mar 27, 2014
19,067
2,000
Mashabiki wa Arsenal watamani mechi za timu za taifa ziendelee ili wapumzike na vichapo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom