Episode 4 ya series ya HAWKEYE imeachiwa leo Desemba 8, 2021

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Jan 18, 2021
549
557
Kwa wale wafuatiliaji wa series ya hawkeye leo tarehe 8 dec 2021 wameachia episode ya 4 ndani ya series clint amekutana na kate bishop huyu binti naye anakiwasha kwelikweli.

Episode ya 5 inatoka 15 Dec 2021

Baada ya nchi ya america kuingia kwenye janga kubwa la kuvamiwa na aliens ( wale mliongalia the avengers mnaelewa vizuri hapa) basi ikabidi kikosi cha mashujaa wakiwemo hulk, iron man na Clint (hawkeye) kupambana na viumbe hawa na hii vita walishinda lakini iliacha maafa makubwa kwa wananchi wa amerika

ikiwemo na baba yake kate kufa hivyo kate analelewa na mama yake lakini binti anamwambia mama ake anataka kujifunza sanaa ya mapigano ikiwemo utumiaji wa mshale kumbuka huyu kuna aliens mmoja alitaka kumvamia kipindi kile cha vita lakini hawkeye akawahi kumtwangwa mshale ebwana wee

Sasa binti kashakua na akaiva kwenye swala la upambanaji lakini anajikuta matatizoni baada ya kuiba suti na kuivaa suti hiyo ilavaliwa na RONIN mambo mengi yanatokea ikabidi bwana mkubwa clinti (hawkeye) aingia kazini kupambana na maadui maana na yeye huu mchezo unamuhusu haswa

je ronin ni nani

na kwanini clint anajitoa sana kumsaidia kate bishop

unaweza ipakua kupitia www. netnaija.series
View attachment 2037466
 
Sisomi maelezo yako najua utaspoil sema hii series sasa hivi ndio series pendwa kwangu, episode ya tatu ilikuwa Moto sana nilipenda zile trick arrow hasa ile iliyotengenezwa na PYM industry, aisee Hawkeye is the best

Best thing about this ina theme ya Christmas wakati mimi na Christmas ndio damu damu

Ngoja nikaipakue chapu
 
sure mi sio mwandishi mzuri sana ila najua nachoandika kimeeleweka
 
Kitakuwa kimeeleweka for sure, nimesema siisomi ili nisije nikajua matukio ya episode 4 kabla ya kuiona episode yenyewe... nkiimaliza ntarud kusoma uzi wako bila shaka
haaa we jamaa km mm
nipo hivyo hivyo
huwa sipendi kusoma au kuadithiwa
mpk nione kwanza
 
haaa we jamaa km mm
nipo hivyo hivyo
huwa sipendi kusoma au kuadithiwa
mpk nione kwanza

Kweli mzee, utamu wa movie au series uko pale ambapo zile twist hauzijui na raha ya movie ni suprises ushangae kuwa aah hadi huyu yupo au hadi kitu hiki kipo hiyo feeling unavyoipata mara ya kwanza hauipati tena hata urudie kuichek haupati ile goosebumps

Mimi ni Shabiki wa Marvel nakumbuka Avengers Endgame kuna ile Kipande Captain America aka wield nyundo ya Thor akawa anapigana na Thanos aisee Theater nzima ikapiga kelele watu wakainuka kwenye Viti, ndg acha tu Movie hiz tamu aisee...feeling & experience kwenye movie kukaribiana na ile sijaipata hadi leo hapa nasubir Spiderman No way Home labda ita top that moment.
 
feeling ya movie acha mi napiga makelele kaa mwehu
 
feeling ya movie acha mi napiga makelele kaa mwehu

Hahahah watu wa design yako nawajua sema kuna na hawa wanatukanaga huwa wanafeli sana. nakumbuka hii Mortal Kombati ya 2021, Ilikuwa Aura siti yangu ya Nyuma kulikaa na wahind wawili vijana walikuwa wanatukana ovyo kukiwa na zile actions( zile fatalities) kiukweli nlikerekwa aisee maana wale watu wakawa tatizo
 
Back
Top Bottom