Epica9 yaliza taasisi serikali, malipo mengi yakwama!!!!

maskini TANZANIAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!! tunashikizwa mpaka kutumia computer pgms, yuuuuuuu!!!!!!!!!
 
usemayo ni kwel kuna malipo yanatakiwa kufanywa kwa wananch flani so imekubalika hyo system isitumike coz itachukua mwaka kuyakamilisha!

Itakuwa ni habari njema kama tukiachana na system hiyo ambayo kiukweli haijafanya vizuri tokea ianze kutumika!!!
 
Inashanga serikali inapoteza pesa nyingi kutibia maiti (epica) badala ya kuja na jawabu la kuchimba ardhi na kuifukia.
 
Katika hali kama hii akipita mchonganishi akasema hazina nyeupe watu wataamini kumbe tatizo ni mfumo huo.
Mimi hayo mambo ya epicor9 siyaelewi hata kidogo, naamini kuwa hazina haina kitu wanatumia tu mfumo kujitetea.
 
Ila kabla ya kui phrase out hiyo ya zamani, wangezitumia parallel ya zamani na mpya then mwishoni wangejua mapungufu...
 
Ila kabla ya kui phrase out hiyo ya zamani, wangezitumia parallel ya zamani na mpya then mwishoni wangejua mapungufu...

Ya zamani haina shida na deposit account au wenyewe wanaiita akaunti ya amana. Shida ipo kwenye Recurrent Account ndani ya huo mfumo wa Epicor 9.
 
Mimi hayo mambo ya epicor9 siyaelewi hata kidogo, naamini kuwa hazina haina kitu wanatumia tu mfumo kujitetea.

Siyo kweli kwamba hazina imekauka kiasi hicho, tatizo ni mfumo.
 
Back
Top Bottom