Ephrahim kibonde na marine hassan yupi ni bonge la mtangazaji?

mhalisi

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
1,181
320
ephrahim kibonde na marine hassan ni watangazaji maarufu nchini, je ni yupi anatangaza vizuri kuliko mwenzake?
 
Hapo ni kama kufananisha Nyani na Ngedele...wanatofautiana kidogo sana,wote ni vilaza na watumwa wa magamba....
 
Hapa ni kama kufananisha CHURA NA KOBE MAJINI maana hawa wote wanategemea maji ili waweze kuishi, hakuna mwenye uhafadhali hapo NIACHE MIE NILALE KAMA JF MNAANZA KUFANANISHA KIZIWI NA KIPOFU BASI HATUTAFIKA...
 
ephrahim kibonde na marine hassan ni watangazaji maarufu nchini, je ni yupi anatangaza vizuri kuliko mwenzake?
Umetaja watangazaji watatu pamoja na red hapo, mtangazaji mzuri kati ya hao watatu nazani Na anatangaza vizuri zaidi.
 
Back
Top Bottom