EPA nayo ni "ufunuo wa mungu" utapeli ama UPATU? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

EPA nayo ni "ufunuo wa mungu" utapeli ama UPATU?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Apr 18, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,209
  Likes Received: 3,142
  Trophy Points: 280
  Wana ndugu naomba msaada kwenye tuta kidogo;hivi karibuni kumezuka kampuni zinaitwa praidi;deci na nyinginezo hatimae serikali wakaamua kuuiita DECI upatu ambao hautakiwi;kidogo inanichanganya nikianza kulinganisha na asasi nyingine kama EPA pride;
  katika hili kumezuka mtafukuru mbalimbali kufikia watu kusema DECI ni ufnuo wa mungu;wengine maaskofu wakisema deci ni dhambi;
  naomba nieeleweke simuhukumu mtu ila naitaji uafanuzi;
  EPA
  Hii wao walikuwa wakichukua pesa toka kwenye serikali na kupitisha kwenye mabenki ya wlalahoi kwa kuwalaggai ten percent;baadae wanaa mbiwa na MH RAISI ati watakaorudisha hawatashtakiwa;nduguzetu waliofanya hivyo wakafaniikiwa kutoka mkono huo;sasa hii inaitwaje "ufunuo wa mungu ama upatu ama utapeli....
  Mwisho napenda kuwaasa watanzania msidanganyike na serikali yenu ya mafisadi mpaka hivi sasa EPA walioiba wanajulikana na hakuna kilicho ama kinachoendelea wapi KAGODA na rostam;Iweje hii Deci wamekaa nayo 3yrs wanakuja kushtuka baada ya kuombwa kutoa baadhi ya pesa kwenye kampeni za 2010;kazi kweli kweli
   
Loading...