EP mpya ya Rayvanny ni kali sana inapita hadi hizi album zilizotoka

Ni hiyhy ep yenye nyimbo come sijui nini au kutoa nyngn ila kama ni hiyi nazan shida ni mfumuko wa bei akili imestrokuuu so yatapita
 
Ep imedoda, Ngoma zote zinafanana, melody ya kuungaunga, quality ya kiunderground kifupi Kesha potea kwenye ramani ya mziki mazima.
Anaweza kuwa na nyimbo tele, yah akafanya nyingi.../

Ila zote kelele, zaidi ya kengele ya Misanya Bingi.../
 
Ukiskiliza EP ya Rayvanny nyimbo zote ni kali na hakuna ngoma utaskip zote ziko poa na utatamani kuskiliza tena na tena. Rayvanny alitulia sana alivyoandika hizi ngoma mashairi yamenyooka kama vile sio jamaa from mbeya. EP imekamilika kila kitu kuanzia beats, Melody, Mixing, na lyric

Rayvanny ni moto wa kuotea mbali ni vile sio mtu wa makik. EP YA RAYVANNY ndo inaongoza then inafatia ya KING KIBA

Huyo mwingine ametoa Maronya hakuna kitu mule zaidi ya Kusema sema watu vijembe vya kijinga mtu mwenye akili timamu hawezi kuskiliza au kupoteza mda kuskiliza Album iliyojaa vijembe ( we neeed good music nothing else sio anatuimbia upumbavu wake ) watakao download hiyo album ni watu wajinga wajinga waliokosa Direction ila mtu mwenye kujitqmbua hawezi kuskiliza upumbavu
Shika adabu yko uo nimtazamo wako fk yr
 
Mimi naona wanaosikiliza bongo fleva wote ni wajinga wajinga waliokosa direction.
 
Ep imetulia sana kuna nyimbo mbili nazisikiliza sana hii baila na rara naona midundo yake inautofauti I hope zitafanya vizuri sana
Albamu ya harmonize nayo ni kali pia baadhi ya nyimbo chache sikuona ulazima wa kuimba lugha ya malkia ila all in all ni nzuri kanikosha sana kwwnye nyimbo dunia na hii nyimbo nyingine aliyoimba na ibra
 
Ep imetulia sana kuna nyimbo mbili nazisikiliza sana hii baila na rara naona midundo yake inautofauti I hope zitafanya vizuri sana
Albamu ya harmonize nayo ni kali pia baadhi ya nyimbo chache sikuona ulazima wa kuimba lugha ya malkia ila all in all ni nzuri kanikosha sana kwwnye nyimbo dunia na hii nyimbo nyingine aliyoimba na ibra

Harmo ana kurupuka tuu
 
Peleka umasai huko blalfaken hujui kitu kubwa jinga wewe

Hahaha blalfaken hata kiingereza cha kwenye movie hujui. Wewe ni chawa uchwara. Boga kabisa halafu mjinga saaaana. Tangu umenunua ki redio cha bluetooth unajiona unajua mziki.
 
Back
Top Bottom