Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,726
- 1,989
- Thread starter
- #41
Sasa tangu lini Kenge kama wewe ukajua mziki kama hata kuona huwezi
Peleka umasai huko blalfaken hujui kitu kubwa jinga wewe
Sasa tangu lini Kenge kama wewe ukajua mziki kama hata kuona huwezi
Hivi EP ndio nini
Sawa babalevo
Babalevo uyo
Na ile 'one two' kapita na 'joro' ya wizkid nothing new
Anaweza kuwa na nyimbo tele, yah akafanya nyingi.../Ep imedoda, Ngoma zote zinafanana, melody ya kuungaunga, quality ya kiunderground kifupi Kesha potea kwenye ramani ya mziki mazima.
Ni hiyhy ep yenye nyimbo come sijui nini au kutoa nyngn ila kama ni hiyi nazan shida ni mfumuko wa bei akili imestrokuuu so yatapita
Anaweza kuwa na nyimbo tele, yah akafanya nyingi.../
Ila zote kelele, zaidi ya kengele ya Misanya Bingi.../
Shika adabu yko uo nimtazamo wako fk yrUkiskiliza EP ya Rayvanny nyimbo zote ni kali na hakuna ngoma utaskip zote ziko poa na utatamani kuskiliza tena na tena. Rayvanny alitulia sana alivyoandika hizi ngoma mashairi yamenyooka kama vile sio jamaa from mbeya. EP imekamilika kila kitu kuanzia beats, Melody, Mixing, na lyric
Rayvanny ni moto wa kuotea mbali ni vile sio mtu wa makik. EP YA RAYVANNY ndo inaongoza then inafatia ya KING KIBA
Huyo mwingine ametoa Maronya hakuna kitu mule zaidi ya Kusema sema watu vijembe vya kijinga mtu mwenye akili timamu hawezi kuskiliza au kupoteza mda kuskiliza Album iliyojaa vijembe ( we neeed good music nothing else sio anatuimbia upumbavu wake ) watakao download hiyo album ni watu wajinga wajinga waliokosa Direction ila mtu mwenye kujitqmbua hawezi kuskiliza upumbavu
wamakonde watakupnga
Ep imetulia sana kuna nyimbo mbili nazisikiliza sana hii baila na rara naona midundo yake inautofauti I hope zitafanya vizuri sana
Albamu ya harmonize nayo ni kali pia baadhi ya nyimbo chache sikuona ulazima wa kuimba lugha ya malkia ila all in all ni nzuri kanikosha sana kwwnye nyimbo dunia na hii nyimbo nyingine aliyoimba na ibra
Peleka umasai huko blalfaken hujui kitu kubwa jinga wewe
Extended Playlist yaani ni kamkusanyiko flani iv cha ngoma kuanzia 4 na kuendleaHivi EP ndio nini