Enzi zile: Kura ya kutambua nani anatoka na nani shuleni.......................?

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,091
Nakumbuka enzi zile ilikuwa inatokea sakata la kura kupigwa kwa kila mwanafunzi kutaja nani anatoka na nani hapo shuleni, balaa linakuwa kwa wale watakaoangukiwa na kura hizo
 
Hyo shule yenu mapenzi yalikua yanaruhusiwa kumbe?heri yenu
 
Nakumbuka enzi zile ilikuwa inatokea sakata la kura kupigwa kwa kila mwanafunzi kutaja nani anatoka na nani hapo shuleni, balaa linakuwa kwa wale watakaoangukiwa na kura hizo
umenikumbusha mbali darasa la sita
 
Ebwanae umenikumbusha mbali saana. baada ya kura viboko. I dont think it was fair
 
Mimi darasa la sita na la saba, ulikuwa ni uonevu wa hali ya juu.....
 
Hyo shule yenu mapenzi yalikua yanaruhusiwa kumbe?heri yenu

Senator,mwenzetu ulisoma mbinguni nini????????

Mimi nikiwa head prefect nilipewa adhabu ya kuchimba visiki,nilipigiwa kura nyingi eti natoka na head girl, HG mwenyewe alikuwa mkare asikwambie mtu,ila ilikuwa ngoma ya Head Master................................nilikuwa mbuzi wa kafara tu.
 
Pole kaka mi nilinusurika kwasababu mwalimu aliyekuwa anaongoza zoezi alikuwa mshkaji sana na nilikuwa nafanya vizuri sana somolake akapotezea. Ila nilipata kura zaidi ya nusu ya shule nzima
 
No shule ulikuwa hufukuzwi ila ulikuwa unapewa adhabu ya kuku-embaras
 
Mi nilikuwa na videmu kibao skuli lakini hakuna hata siku moja niliyopigiwa kura, hao rafiki zangu wao walikuwa wanazipata sana maana walikuwa wanapenda sana kutangaza ishu zao.
 
Back
Top Bottom