Enzi zetu ukimiliki hii kitu basi ni jambo la heshima mtaani...!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,040
21,513
bike.jpg
 
Dah, kweli nakumbuka enzi hizo mwanza kuna bwana mmoja alinunua phoenix mpya na kuandika "huu ni mwanzo number one":smile-big:
 
Aisee, mi nilikuwa na Swala bomba mbili, nikienda kisiman kuoga na yenyewe inaogeshwa kwa madaha si mchezo...

Nasikia ndg zangu wasukuma mlikuwa mnalala nazo kitandan, yan upo ladh mke alale chin lakin baiskel ilale karibu nawe, Aah haha haha..!!

LongTime....
 
hahaha mkuu swala nazielewa sana ila umetuonea wasukuma aisee. sema baiskeli ya msukuma lazima ukute ina side mirrors za hatari, siti nzuuri ya nyuma, taa inafanya kazi na mbwembwe nyinginezo nyiingi
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana,na shangsheng naimiliki hadi leo,nlipewa zawadi mei mosi 94
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom