donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,519
unakisoma mkuu? hatari hiko kitu, kule kwetu usukumani unakuta kimepimpiwa balaaKitu Phoenex..
unakisoma mkuu? hatari hiko kitu, kule kwetu usukumani unakuta kimepimpiwa balaa
Ni noma kitu kinafungiwa subwoofer na twita za ndani kwa ndani.
Tulikuwa na raleigh bomba mbili nourmer tupu
dah umenikumbusha nyumbani....
nafikiri kwa wasukuma zaidi....
haha huyo bwana alitisha mkuuDah, kweli nakumbuka enzi hizo mwanza kuna bwana mmoja alinunua phoenix mpya na kuandika "huu ni mwanzo number one":smile-big:
hahaha mkuu swala nazielewa sana ila umetuonea wasukuma aisee. sema baiskeli ya msukuma lazima ukute ina side mirrors za hatari, siti nzuuri ya nyuma, taa inafanya kazi na mbwembwe nyinginezo nyiingiAisee, mi nilikuwa na Swala bomba mbili, nikienda kisiman kuoga na yenyewe inaogeshwa kwa madaha si mchezo...
Nasikia ndg zangu wasukuma mlikuwa mnalala nazo kitandan, yan upo ladh mke alale chin lakin baiskel ilale karibu nawe, Aah haha haha..!!
LongTime....