aisee mkuu kweli we mtunzaji!Mkuu umenikumbusha mbali sana,na shangsheng naimiliki hadi leo,nlipewa zawadi mei mosi 94
avon nazijua zile, kweli hazikua imara sana!baada ya swala kupotea akaja Avon Hizo bike zilikua hazifai yani ukiendesha baada ya mwezi huitamani
hahaha halafu ukute ndio king'wasu kinawakaa na pampu yhake kabisa pale.Nakumbuka mzee alinunua shaing chan kwa 37,000/= da ilikuwa balaa kitaa yani noma ikitokea safari ya kwenda gengeni unalazimisha uende wewe ili uendeshe baskeli yani kipindi hicho ilikuwa kama gari maana mtaa mzima hakuna mtu hata mwenye pikipiki.
aisee mkuu nikama umenisoma, baba alichukuaga mkopo wa Hyundai accent tena enzi hizo ilikua ni TZJ 7360, ndio gari anayoitumia mpaka leo wala hana mpango wa kununua gari nyingineHizi walikuwa wanakopeshwa wanajeshi wadogo hizi miaka hyo,baadae wakaja kuwa wanakopeshwa Hyundai tena askari meja kwenda mbele enzi hizo TZJ.
aisee mkuu nikama umenisoma, baba alichukuaga mkopo wa Hyundai accent tena enzi hizo ilikua ni TZJ 7360, ndio gari anayoitumia mpaka leo wala hana mpango wa kununua gari nyingine
kweli mkuu ni mtunzaji balaa. yaan enzi hizo hata ukiiba ukaoshee basi hata matrafiki hawawezi kukuzinguaDu mzee wako mtunzaji kweli yani anayo mpaka mida hii? Safi sana ila walikuwa wanaosha sana enzi hizo,ukiona Hyundai TZJ unajua ni mjeda.
Umenikumbusha HAMILITON ya baba yangu enzi niko la sita 1986Tulikuwa na raleigh bomba mbili nourmer tupu
Bila kusahau kitu cha Shainshain (Hapo nimetohoa) lakini kilikuwa kinaandikwa "CHENG ZHEING".Mi naikumbuka Hamilton na hamber we acha tu