Enzi zetu sisi watu wa huku Mbeya kulikuwa hamna kabisa majumba ya sinema

Enzi zetu bana hasa sisi watu wa huku Mbeya kulikuwa hamna kabisa majumba ya sinema, badala yake movies zote tulikuwa tukizitazama video shows.

Mfano Mbeya Mjini Video show maarufu zilikuwa;

Nisso Video Show
Vijana Show,
Chawama Video show
Kimanda Video show,
Mponzi video show,
Jihanga Video show
Nassib Video show
Bad Zombie video show
Mwaikambo video show
Kizota Video Show
East video show

vipi mkoa wako kulikuwa na video show? tukumbushe hapa
Isanga tulikuwa na MKULIMA VIDEO SHOW, ila movie kali tulikuwa tunaenda kuchek kwa NASIBU VIDEO SHOW. Kaka umenikumbusha mbali sanaa, thanks for good memories!
 
Isanga tulikuwa na MKULIMA VIDEO SHOW, ila movie kali tulikuwa tunaenda kuchek kwa NASIBU VIDEO SHOW. Kaka umenikumbusha mbali sanaa, thanks for good memories!
Thanks Bro...Nassibu kwa Sasa anaonesha mpira
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom