Enzi zako za 1st year, Bum (mkopo) la kwanza ulifanyia nini?

dah, bumu la kwanza ilikuwa kuonyeshana room, mh watu tulilipuka tofautitofauti, tupa mbali nguo za A-LEVEL kamata mupya, vuta kalaptop hata kama kaku kuu ili mradi we nae uwe nacho freedomsquare mda wa discusion....mh kuchapika kulifuata baada ya mda mfupi, dah lawama hapo.
 
mie boom la kwAnza sikupata, so kwenye boom la pili nikapewa yote mawili, kama milioni na ushee, nikanunua laptop ya milioni... hiyo ndo ilikuwa most expensive asset niliyokuwa nayo
 
Back
Top Bottom