Enzi zako za 1st year, Bum (mkopo) la kwanza ulifanyia nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Enzi zako za 1st year, Bum (mkopo) la kwanza ulifanyia nini?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by MKATA KIU, Oct 12, 2012.

 1. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Heshima kwenu wadau,, naona madogo wanaoanza first year wanajaza thread tu za bum huko jukwaa la elimu,, nadhan hii stage wengi tumepitia hasa tuliosoma undergraduate Tanzania...

  Je wewe bum lako la kwanza ulifanyia nini?

  Enzi zangu nakumbuka mara ya kwanza nilipewa kama laki 6 hivi unusu, enzi naanza first year Mzumbe.. Nilipoziona zimeingia tu bank nikadraw kama Lak 4 nikaenda town kununua home theatre kama lak 2 na nusu hivi then nikawashtua washkaji zangu wa high school tukaenda kwa baunsa ( bar moja maarufu mzumbe kujipongeza kwa kuanza first year) mpaka narudi geto nimebaki na elfu 25 tu...
   
 2. Excel

  Excel JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 18,888
  Likes Received: 565
  Trophy Points: 280
  we nae noma! Mi ndo nimepewa tshs663000 leo hii mchana!
  Ndo kwanza nimekaa nawaza isije kuwa kama yako!
  Nishaurini jamani!
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  tumia kwa akili, hakikisha likizo una savings
   
 4. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Enzi hizo ndio Bar ya Igongwe kumekucha.
  Utanikamatia wapi?

  Bum lote nililifyeka pale.
  Bora tu ilivyokufa maana roho ilikuwa inaniuma kila ninapoiona ile Bar enzi hzo nikienda Mwenge.
   
 5. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Madame B ya kweli hayo? Mie nilifanya shoppng ya nguvu mliman city ,bt umeniweka pending shosti
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Oophs...!!! my dear Ciello!!
  Hebu twende kule mahapa Petu.
  Kule Chemba,c unajua uzee tena.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahahaha! Ulikuwa mkare lol
   
 8. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Acha tu.
  Bar imenifilisi ile!!
  Nahs walinipa Limbwata ili niwe nakunywa pale.
   
 9. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,726
  Likes Received: 447
  Trophy Points: 180
  Mi nilichomoa kili nne,kilo mbili nikanunua hometheater ya mtumba aiwa,the rest iliishia ambiance/corner bar na ngwasuma makumbusho, na noah B sisimizi bar kabla mmiliki hajaokoka au mchemsho Yenu. Bar
   
 10. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,726
  Likes Received: 447
  Trophy Points: 180
  maisha ya chuo ni anasa sana,kuna jamaa yangu yuko barick kwa sasa,ilikuwa akipata boom baada ya kutoka makumbusho maana ngwasuma walikuwa hawapigi mpaka chweee ikifika mida ya saa 10 wanafunga mziki,jamaa tunakod bajaji tunaenda kumalizia siku kona bar,basi tunakaa pale chini ya bango kuuubwa,,jamaa anaita mjasiria mwili /changu amnyonye dick hapo hapo alipokaa ampe buku tano. Yaani acha tu boom kwa akina dada linaishia kusuka sangita mwenge na kununua vitop wanavyopitisha kwenye vimbweta na kwenda kula UDAS zikiwaishia wanahamia manzese..
   
 11. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahahaha! Bora imefungwa eeh
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  loh..............
  Mie nahisi nilikuwa either mshamba or bahili.....
  Ila nashukuru boom nilikuwa nalisave....maana starehe yangu ilikuwa kula na ni mara moja moja.....(most of the time shem wako alikuwa anacover teh teh teh).....

  Ila nilipomaliza chuo nilikuwa na savings ya kutosha, ilinisukuma kwenda kutafuta ajira, na Mungu alivyo mwema ndani ya miezi miwili nilipata kazi na nikaimalizia kwa kuifanya nauli ya kwenda ofsini....... Hata graduation imenikuta nipo kwa job...

  Ubahili oyeeeeeeee
   
 13. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #13
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Mie nakumbuka nilinunua digital camera ya laki 2 na 90 then the rest ilisha polepole tu kwa matumizi ya kawaida!
   
 14. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #14
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Nasikitika kwa ngazi ya certificate hawakutupa boom, sijui kwa nini? Linge nisaidia san.
   
 15. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #15
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  heheh......ubahili wako ulikuwa na nguvu zaidi, na we kwakuwa tu shemeji alikuwa anawajibika! Lol
   
 16. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #16
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Yaani bum anasa sana, nilishika hela nyingi za kwangu mwenyewe for the first time, as mzazi halijua sitapata bum kwa shule nilizosoma sekondari, sasa akanipa ada kama m 1 hivi na pocket money kama mia 5 hivi kumbe muhuni nilijaza fomu kimya kimya kutest zali, he mgodi ukatema kufika chuo nikapigwa hizo 600, kufatilia ada nikaambiwa nachangia lak 2 tu,, nikalipa fasta lak 2 yao,,, for the first time account ikawa na kama million 2 ya kwangu mwenyewe... Yaani hiyo semester niliingiza suplementary za ajabu maana ( mi ugonjwa wangu kwenye beer tu)... Yaani nikitoka pindi tu bar...

  Mother alikuja kushtuka third year baada ya kutonywa na sister angu kwamba napata bum.. ( Nilijichanganya kumpa ukweli sister home kuwa nina bum).... But kusema kweli pesa za magumashi zinakuwa kama na mapepo hakuna cha maana zaidi ya anasa tu,

  Najuuta baada ya kuanza kazi tu HELSB wananikata bum lao, sina hamu
   
 17. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #17
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Kama ungekuwa na certificate wewe si ungekuwa kalani tu wa mahakama? Hahahah......au ulidanganya ili umpate madam b? Lol
   
 18. aminiusiamini

  aminiusiamini JF-Expert Member

  #18
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,418
  Likes Received: 1,301
  Trophy Points: 280
  Kuna watu wapuuzi. Mkopo unafanyia ujinga badala kukulinda umalize masomo. Kweli umaskini ni mbaya sana.
   
 19. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #19
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Hatuwezi tukafanana wote kaka, usifananishe na akili za kitoto na za kwako, also tunatoka background tofauti, malezi tofauti, shule tofauti, na dreams tofauti...

  Allen iverson anakwambia usitake ni behave kama michael jordan wakati my age ni 19 while jordan age is 36...( Wakati huo wanacheza wote NBA) na kwa taarifa yako na ujinga wote nikafikisha gpa nzuri iliyonipa ajira big 4 direct through recruitment programe...
   
 20. aminiusiamini

  aminiusiamini JF-Expert Member

  #20
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,418
  Likes Received: 1,301
  Trophy Points: 280
  Ok. Sawa umepata kazi. Je, sibado unalipia mkopo? Unajisikiaje hiyo hrla unayokatwa ukikumbuka ulifanyia upuuzi kulilko ilivyokusudiwa? Hakuna kitu kama age justification kwenye maturity. My bro is 18 and he knows how to keep his little money. He spends it responsibly. Tunasahau adha tupatayo tunapokuwa tunatafuta hela, lakini tukizipata tunatumia kama tuliziokota. Whenever you spend your money think of energy spent getting the money. Otherwise hongera kwa kazi yako
   
Loading...