Enzi za watu kukwepa magari zimekwisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Enzi za watu kukwepa magari zimekwisha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MILKYWAY GALAXY, Feb 15, 2011.

 1. M

  MILKYWAY GALAXY JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2011
  Joined: Dec 12, 2008
  Messages: 201
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Ndugu zangu,
  Hii ni kuoa tahadhari kwa waendesha magari hasa katika jiji la Dar.
  Enzi za watu kukwepa magari zimekwisha, sasa ni waendesha magari kuwakwepa wapita njia (waendao kwa miguu)

  Leo asubuhi yamenitokea.

  Mpita njia mmoja kajigongeza kwenye gari kwa makusudi, akaanza kulia kwa uchungu eti ameteguka mkono.

  Akataka nimpeleke hospitali au nimlipe hela ya matibabu.

  Mfukoni nilikuwa na shilingi elfu tatu tuu.

  Nilijua ni tapeli hivyo nilitumia ujanja kumtoroka.

  Nawatahadharisha ndugu zangu muwe makini.

  Hizi ni nyakati ngumu sana, mengi yatatokea, tuwe makini.
   
Loading...