Enzi za Nyerere hii ilikuwa mpaka mtu UROGWE!!

Ngonepi

JF-Expert Member
Jun 2, 2013
1,872
1,200
1480432529304.jpg
 
tema mate chini man na mwombe mungu kikombe hiko kikupitie mbali maana hujui kesho yako inawwzekana huyo jamaa nae jana alikuwa hapa jf ana-chat leo yupo kaangukia hapo!
Sijui tatizo lako nini mkuu!!

Kuna shida kukumbuka kwamba enzi za Rais wetu wa kwanza ilikuwa mtu ukiokota MAKOPO barabarani UMEROGWA!!
 
...mi nilivyomuelewa hakumaanisha vibaya kama ulivyofikiri ww
 
Nilivyoelewa mimi ni kwamba enzi zile ukimuona mtu anaokota makopo basi karogwa lakini siku hizi watu wazima na akili timamu unawakuta na mifuko kama hiyo katika madampo wakiokota chupa wakauze
 
Na hii inamaanisha pia kwamba hali ya uchumi inaporomoka badala ya kusogea!!
 
tema mate chini man na mwombe mungu kikombe hiko kikupitie mbali maana hujui kesho yako inawwzekana huyo jamaa nae jana alikuwa hapa jf ana-chat leo yupo kaangukia hapo!
Hivi wewe umeelewa kweli?
Hajamkashifu huyo wala hajamkejeli, anamaanisha tu hivi, kipindi cha Nyerere hayakuwepo hayo, simple and clear, akafafanua zaidi, ilikuwa mpaka urogwe, teh teh teh!
 
tema mate chini man na mwombe mungu kikombe hiko kikupitie mbali maana hujui kesho yako inawwzekana huyo jamaa nae jana alikuwa hapa jf ana-chat leo yupo kaangukia hapo!
Hajamchek mkuu rudiabkusoma tena

Siku hizi imekua ajira na watu wanaishi kwa kuokota chipa
 
Siku hizi ni ajira tena wazima kabisa na akili zao timamu lakini enzi za mwalimu tukikuona unaokota tusema bangi au kurogwa
 
Ajira nyingii zimetooka wanaokota makopo kaka,Usije itwa Chokoraa Luwangwa sisi wakatucheka .Usije mjini kaka
 
Back
Top Bottom