Nyambala
JF-Expert Member
- Oct 10, 2007
- 4,465
- 1,170
Ifeel your pain bro lakini hii ya kusoma ili upate kazi haijakaa vizuri kuna masomo ambayo hata kabla hujamaliza unafahamu nisipopata kazi nitafanya hiki.
Mkuu stop there!!! Dunia nzima hata kwenye nchi za kibepari unaanza kwanza kuajiriwa ndiyo baadae unajiajiri unless kama unazungumzia kwenda kuuza mbao au you are from a privileged family background . Man, have you done that stuff from scratch, from zero???? Asikuambie mtu unaweza kujikuta umekuwa konda hata kama umesomea udaktari. For the past 20 years I have been in and out ya kuajiriwa na kujiajiri. I practically know wht it is and what it takes. Sema uzuri wa ughaibuni mambo yako straight siyo hapo kwetu una wazo unaenda kulisajili, unawekewa mizengwe halafu hao watu wa registration unaona wanafanya kitu kile kile ulichotaka kufanya. Mkuu I have been into everything uvuvi, uchoji, uchuuzi you name it. Ndiyo maana personally huwa sitaki kabisa kuukumbuka huo wakati.