FaizaFoxy I bet you are over 40
High heels
Tulikuwa tunaita "Laizoni" kijana kama huna hizo unaonekana umepitwa na wakati
Jamani hizo pc!!! it was very nice picture by then,,,,,,hapo kama siyo 80's mpaka 1984's daaaah111 kitambo kweli
Walikuwa wanaziita shuka tubonge....
au "teremka tuzoze" sweet candy...
Ilikuwa ili kijana uwe umekamilika ni lazima uwe na hiyo kitu, pekoz, redio mkulima, na ukiwa na ghetto yaani wee mwanaume tayari ndiyo kigezo cha kuoa,,,,,, maisha tumetoka mbali bhana,,
Veto lenyewe kitanda cha banco na taa ya kandili
Vipi mpenzi hujambo lakini FaizaFoxy i miss you..........Just 40? I am over 50
au "teremka tuzoze" sweet candy...
Darling kumbe unakumbuka he he heeeeee tumetoka mbali kweli