cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,665
- 5,026
eet sasa hivi mbungeNakumbuka Juma Nkamia alikua akitangaza mechi ya Simba na Yanga anajisahau anasema..
Sisi 2 Yanga 0
eet sasa hivi mbungeNakumbuka Juma Nkamia alikua akitangaza mechi ya Simba na Yanga anajisahau anasema..
Sisi 2 Yanga 0
ivi ni hali mayai au Ally mayaiNakumbuka enzi za HALI MAYAI , sijui siku hizi ANAYALA HAYO MAYAI
Omary ngwala ngwala hebu chukua kioo hiki peleka kule! Kama unalijua hilo tangazo na upo kwenu hebu hama maramojaUtamu wa mechi ya watani watangazaji Ahmed Jongo na omary Kipozi
Kwenye OB van unamkuta Noel Namaloe
Wadhamini wetu "Revola"
Aliujua mpira na ubabe piaSaid Nasoro Mwamba Kizota
Ni mmoja kati ua wabunge wa CCM WASIOJITAMBUA!eet sasa hivi mbunge
Wewe hupishani umri na mmBaada ya taarifa ya habari ya saa kumi kamili jioni tutajiunga na watangazaji wetu waliopo uwanja wa Taifa kukuletea mpambano wa mpira wa Miguu kati ya Simba na Yanga uwanja wa Taifa.
Watangazi wetu huko ni Sued Mwinyi Ramadhani Mnyamwezi wa Tabora na Juma Suleiman Nkamia.
Wathamini wetu ni bia ya Safari larger ,
Nami studioni ni Christine Chokonigela
Utakuwa umemzidi umri Mzee AkilimaliSisi....... Michael Elias. Omar Kepera. Kitwana Manara. Gibson Sembuli. Wao...... Chogo. Haider. Khalid. Kibadeni