ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,544
- 44,691
Enzi za Magufuli kazi zilikuwa nyingi watu wakajenga Sana ila tokea mama Samia suluhu awe Rais Basi Kasi ya ujenzi imeshuka sana.
Mtu anaona kuliko milioni tano yake aipeleke kwenye mambo ya ujenzi hata Kama Ni kanyumba Cha kupangisha Ni Bora akanunua mazao ya chakula Kama vile ulezi n.k ili yaje yamsaidie baadae maana unaweza ukajenga na still ukabakia maskini Ni heri uweke store vyakula.
Kifupi hali sio hali wakuu tazameni Sana kwa jicho la ukaribu.