Enzi za chama kimoja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Enzi za chama kimoja

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nyani Ngabu, Jun 18, 2012.

 1. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hivi kwa nini enzi zile za chama kimoja tulikuwa tuna uchaguzi wa rais?

  Uchaguzi wa nini wakati mgombea alikuwa mmoja tu? Huu ulikuwa ni ujinga wa hali ya juu sana. Yaani mijitu yote hiyo iliyokuwa kwenye chama na serikali haikuona ujingaa huu?

  Nyambaaf kabisa. Ndiyo maana mpaka leo tupo kwenye hali tuliyonanyo kwa sababu ujinga wa hali ya juu ni janga la kitaifa.
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Ndio maana ccm wanafikiri wapo kwenye ule mfumo wa chama kimoja za mpeni kura za ndiyo
   
 3. m

  mamajack JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  walikuwa wakiweka picha ya mgombea na kivuli.yaani kwa kweli matatizo matupu.
   
 4. Kipaji Halisi

  Kipaji Halisi JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 2,263
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  ..tulikua tunachagua.."PICHA na KIVULI"
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Jun 18, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Just so stupid! Halafu tulikuwa tunadiriki kuliita hilo zoezi "uchaguzi". Tunashangaza sana.
   
 6. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Nyerere alitengeneza mfumo mbovu wa uchaguzi ndiyo maana hata baada ya mfumo wa vyama vingi kurejeshwa waTanzania wengi walishindwa kuuelwa vyema badala ya wapiga kura kutazama sera za vyama wakabaki kutazama sura za wagombea.
   
 7. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Enzi hizo nakumbuka tulikuwa tunapiga kula ya NDIYO au HAPANA akikosekana mgombea wanaweka kivuli
   
 8. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Sasa huko ni kumkejeli na kudhalilisha Baba wa taifa.
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Jun 18, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hapo walichemka sana.
   
 10. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,636
  Likes Received: 1,418
  Trophy Points: 280
  CCM ndio inachukua nafasi ya kivuli sasa hivi
   
 11. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #11
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Halafu cha kuchekesha eti kulikuwa na muda wa kufanya kampeni.
   
 12. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #12
  Jun 18, 2012
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Kwani yeye Mungu?!! Kama kuna m akosa tusiseme...hii ni kumgeuza muumba wako bana..

  NN, ndo maana wakina Fundi-RIP, Mtei, Kambona-RIP na wengineo yaliwakuta yaliyowakuta...was so so stupid.
   
 13. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  KIPINDI HICHO UKIENDA AGAINST Nyerere ulikua unaitwa muasi....
   
 14. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #14
  Jun 18, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Ilikuwa enzi ya zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa CCM.
   
 15. F

  Froida JF-Expert Member

  #15
  Jun 18, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Katika yote ,kitu ambacho hatutamsamehe mwalimu ni kutuulia Tanganyika yetu na kututumbukiza kwenye janga kubwa la mgogoro
   
 16. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #16
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,269
  Trophy Points: 280
  Mwacheni Nyerere apumzike, leo Bungeni Musa Zungu ameteuliwa kama mgombea pekee wa uenyekiti wa Bunge kuziba nafasi ya George Simbachawene, ujinga uleule hata mpaka leo Bungeni.

  Ila cha kufurahisha Wananchi wenyewe wameanza kupembuwa pumba na mchele, hapa Nape Nnauye akihutubia Umati wa Wananchi Kilolo Iringa.

  [h=6][/h][​IMG]
   
Loading...