Enzi hizo...

Enzi hzo unatumwa dukan ukanunue sukari robo,kiberiti kimoja na mafuta taa nusu Lita na peremende za mia

Unaiba mfuniko wa ndoo unaendesha kama tairi huku unaelekea dukan ukiimba,

Sukari robo...kiberiti kimoja...mafuta taa nusu lita..peremende za Mia*3

Sukari nusu Lita..mafuta taa robo...kiberiti kimoja...

baada ya kufika dukan: Kiberiti nusu lita...mafuta robo...sukari ya mia...peremende robo
 
Kuangalia TV kwa jirani au mtaa wa kumi na nane ...Au Kijiji jirani..
Ili kutizama lazima Tuwe tumeoga...na tukifika hamna kukalia makochi wote chini..
Siku nyingine Mnaambiwa mchote maji kwanza Muwajazie wenye TV madramu/mapipa....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kazi ilifanyika Kama mchwaaa..
Sekunde Tayari ..
 
Enzi hzo unatumwa dukan ukanunue sukari robo,kiberiti kimoja na mafuta taa nusu Lita na peremende za mia

Unaiba mfuniko wa ndoo unaendesha kama tairi huku unaelekea dukan ukiimba,

Sukari robo...kiberiti kimoja...mafuta taa nusu lita..peremende za Mia*3

Sukari nusu Lita..mafuta taa robo...kiberiti kimoja...

baada ya kufika dukan: Kiberiti nusu lita...mafuta robo...sukari ya mia...peremende robo
Duh wewee,hapo sasa.
 
Enzi hizo nilikuwa nakaba watoto wenzangu nanyang'anya shilingi 10 zao na shilingi ishirini zilinikoma..🀣🀣
Mixer kumwaga kojo linalojua kutafuta njia kufikia godoro hata Kama umewekewa chakachaka la plastic sikuishia hapo Kuna kitoto Cha kike asubuhi tu nipo kwao nacheza nako baba na mama baada ya hapo tunaingia kwenye mauwa! Hivi fatu uliendaga wapi..😜

Nilishawahi chezea kichapo nikajifanya nimezimia! Ilitua fimbo moja tu nikaammka kwa spidi utafikiri mzimu uliopotea maelekezo..🀣
Ahsante kwa juisi kola ulinifanya nikawa najikojolea mkojo unaonukia hata nikichapwa nasema kweli nahaki ya kuchapwa si kwa mnuko huo..πŸ˜…
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„ Kikojozi...
Way back nikiwa Town ..kabla sijahamishiwa shuleni migombani ilikuwa ukikojoa kitandaniii...
Utatembezwa mtaa mzima na Godoro lako kwa kichwa..
Huku Umepakwa Jivu ...unaimbiwa..
Kikojozi Kikojozi ...kakojoa na nguoo kaitia Moto ..hihihi hiiiiiiiiiii

Hii ilisaidia kupunguza vikojozi mtaani...

Me nilikuwa nikijikojolea.. naamka mapema nachukuwa nguo naweka nlipokojoa then zinavyonzz mkojo wote alafu natupa uvunguni.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Day uno... Harakati za Kikojozi zikasanukiwa teh teh teh ...
Nlipewa kifinyo ...matata Toka siku hiyo nliacha ujinga.
 
Hii fani wengine tulisomea mkojo wa ndotoni ni mtamu Sana halafu haunaga breki! Halafu usiku wa kikojozi huwa unakuwaga mfupi..🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukijikojolea saa Saba utakaa macho Hadi kumi na moja alfajiri.. Kama mla miraa .. hiyo kumi na moja ikifika Ni nduki Kama hukuwepo vile...
Ani ukiota unakojoa tuu Ni nuksi ... Unakuta ushaharibu...
 
Halafu hivi wale madaktari wa zamani walikuwa wanatupa dawa gani zile za minyoo..?? Maana sikuhizi sioni madogo wanahangaika na ku.. nya minyoo! Kipindi hicho unauona kabisa huu hapa laleki kitu halafu kinachezacheza na kimetoka tumboni mwako..🀣
Ukiwa hiyo stage unaomba mpk jirani akusaidie ku.. nya!! Hali ilikuwa inatisha aisee wazirudishe hizo dawa ili Hawa wa Sasa nao watie adabu.
 
ukienda jisaidia unajisaidia pembeni ili uwaone waliokuwa wanakula chakula chako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wengine tuliona Raha .. kuwaona hao jamaa .. me nlikuwa nkijisaidia nachukuwa kijiti natawanya tawanya nawahesabu wezi wa msosi wangu...
Wengine waliokuwa wakaidi wakiambiwa Wanapewa dawa za minyoo Teh teh teh wanaufyata mkia.

Umenikumbusha mbali bro...
Enzi za Marlboro...
Enzi za bazoka
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Enzi hzo unatumwa dukan ukanunue sukari robo,kiberiti kimoja na mafuta taa nusu Lita na peremende za mia

Unaiba mfuniko wa ndoo unaendesha kama tairi huku unaelekea dukan ukiimba,

Sukari robo...kiberiti kimoja...mafuta taa nusu lita..peremende za Mia*3

Sukari nusu Lita..mafuta taa robo...kiberiti kimoja...

baada ya kufika dukan: Kiberiti nusu lita...mafuta robo...sukari ya mia...peremende robo
 
ukienda jisaidia unajisaidia pembeni ili uwaone waliokuwa wanakula chakula chako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wengine tuliona Raha .. kuwaona hao jamaa .. me nlikuwa nkijisaidia nachukuwa kijiti natawanya tawanya nawahesabu wezi wa msosi wangu...
Wengine waliokuwa wakaidi wakiambiwa Wanapewa dawa za minyoo Teh teh teh wanaufyata mkia.

Umenikumbusha mbali bro...
Enzi za Marlboro...
Enzi za bazoka
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu unaujasiri wa ujambazi...πŸ˜…
 
Enzi hizo ukiwa andazi/kinywaji etc unakula taratibu vya wenzako viishe uwa dolishie...... Doli doli
Hahahah. Umenikumbusha kwenye soda. Enzi hizo kulikua na soda inaitwa Fahari wachache wanaijua. Sometimes unazuga kama umepiga pafu kumbe umeirudishia kwenye chupa. Wenzio zikiisha ndio unaanza kutamba
 
Mkuu unaujasiri wa ujambazi...πŸ˜…
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na ujasiri wote huo na ukorofi sijawahi ua kiumbe/mnyama ...nlikuwa najisikia hovyo mno nkiona wenzangu wanaua Vindege,njiwa..sungura..
Nikiona kiumbe anavyochinjwa sili...

Mimi nilikuwa bingwa najua parachichi lipi zuri lipi baya..lipo kwa kina Nani mtaa wa ngapi...
Ndizi mbivu Kwa kina Fulani wanavundika wapi ... πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tulikuwa tuna ligi ya kuokota maparachichi alfajiri ..saa kumi na moja au saa kumi ..Ni kuzurura mitaani chini ya miti ..... Teh teh teh ...na zile tochi za bati zenye Bulb moja kuubwa hv ..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna mengine nkiweka hapa watu wataunga Dots ....
Kugusia nlikuwa na kichwa imekomaa Kama Nazi.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom