matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,570
- 15,313
Mtihani wa la saba, wale waliofeli huwa wanapewa moyo 'hamjafeli ila hamjachaguliwa kwasababu nafasi za form one ni chache'Sijaelewa
Niliishia la Nne sikufauluMtihani wa la saba, wale waliofeli huwa wanapewa moyo 'hamjafeli ila hamjachaguliwa kwasababu nafasi za form one ni chache'
Afadhali...nilikuwa natafuta alieishia la nne.Niliishia la Nne sikufaulu
yaani huyo mwanae kakomaa na shule.... afu mwisho wa siku Majibu yanasoma KAFAULU lakini hajachaguliwa kdt cha I!Sijaelewa
Mimi sitafuti lakini. ...itakuaje?Afadhali...nilikuwa natafuta alieishia la nne.
Shukrani Slimyaani huyo mwanae kakomaa na shule.... afu mwisho wa siku Majibu yanasoma KAFAULU lakini hajachaguliwa kdt cha I!
Tutaelewana, hatuwezi kushindwa kufikia muafakaMimi sitafuti lakini. ...itakuaje?