donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,040
- 21,513
Hahahaha lol...wapi alcatel lol
Alafu napenda vile ukibofya ilie sauti
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Nilikuwanayo hiyo SIMENS, Kipindi hicho natumia mtandao wa TRITEL.
hahah umenikumbusha mkuu mtu ukimuuliza ana simu gani anakujibu nina vodacomhiyo ya pili ilikuwa inaitwa ki-vodacom, ilitoka kipindi kile vodacom ndo inaanza
hata mimi mkuumi nlikua natumia buzz.
ila kwa network zilikua murua hazisumbui kabisaYa kwangu niliyoanza nayo. Motorola sold by Mobitel. Tumetoka mbali.
tuna reminisce kidogo mkuu ila hii kitu kali japo ni conceptual, its not yet confirmed kama itakua ivo
anhaa basi nimeweza kuround off umri wako katika nearest tens subjected to 2-1yr margin error!Enzi hizi nilikuwa katoto kadogo!
kama kawaida yaani full burudanitwanga pepeta
Wewe mtoto, kwa umri wako umezijulia wapi hizi?