Enzi hizo kuogeshwa

Mtoa post unafikir sana,umenikumbusha nikiwa darasa la pili 1998,leo nimecheka sana leo baada ya kukumbuka nilivyokuwa miaka hyo na leo hii nimtu mashughuli sana ,asante mungu na mtoa post pia
Kwahiyo sasa hivi nawe ni super star kama Mimi!!?
 
ilikuwa ukimwagiwa maji kichwani unapagusa kauso na mkono huku unapuliza maji ili upumue kwa amani kidogo.,, mie nlikuwa nkiogeshwa mikono naziba kwenye ofisi... Kimbembe ilikuwa kuchanwa nywele babuu kipilipili si mchezo..,
ikitokeo uneoga mwenyewe ukaguzi unasuguliwa mgongoni,tumboni, miguuni lazma kuna sehemu maji yasifike
Daaah!! hiyo hadi Leo huwa naifanya nikiwa mwenyewe bafuni
 
Zamani mtu unaogeshwa hadharani daaaah alafu juani kila mpita njia anakuchora. Tushukuru enzi hazirudi nyuma leo hii sijui ingekuwaje😃😃
 
hii imenikumbusha mbali sana.....tulikuwa na housegirl mnoko sana....alikuwa ananisugua miguu na jiwe basi ananikwangua huyo......nilimchukia sana.......
Huyo House girl Safi Sana, si una ona jinsi ulivyo mrembo, sasa bila kusuguliwa vizuri unadhani ungekuwa hivyo?.
 
Mtoa post unafikir sana,umenikumbusha nikiwa darasa la pili 1998,leo nimecheka sana leo baada ya kukumbuka nilivyokuwa miaka hyo na leo hii nimtu mashughuli sana ,asante mungu na mtoa post pia
Lqzima tukumbushane matukio
 
kitaa tulikuwa watoto wengi sasa ukiogeshewa nje inakuwa noma wanajaa wa.nakuchungulia me na ndugu zangu tukamwambia housegirl awe anatuogesha bafuni sasa tukimuuzi anatuogesha mlango wazi watoto wanakuja kutuchungulia kama sisi tunavyowachunguliaga kwao
 
Mimi nakumbuka tu vita alivyokuwa anapigana Bi mkuwa mpaka ifike hatua ya kuniogesha kwa kweli Mungu ampe maisha marefu siyo kwa usumbufu ule kisa uoga wa maji....utoto
 
haya si maandalizi ya kuja mjini??
1565082425798.png
 
1. Halafu unanyweshwa kidogo maji ya kuogea.......sijui maana yake
2.Mguuni unaguliwa na jiwe "laini" (siyaoni siku hizi)
3. Ole wako uwe na michubuko kwenye miguu kutokana na kucheza mpira halafu unakumbana na mama kauzu utakoma
4. Ukimaliza kuoga unakaushwa juani na kupakwa mafuta ya mamis na kuvishwa nguo ya mtumba
Mimi siku nyweahwa maji
 

Similar Discussions

19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom