Mbogela
JF-Expert Member
- Jan 28, 2008
- 1,384
- 257
Djimon Honsou mwishoni mwa mwaka jana aliwaliza wajumbe wa mkutano wa kimataifa wa mabadiriko ya hali hewa huko Copenhagen katika hotuba yake juu ya mabadiriko ya hali hewa na hatari iliyopo juu ya dunia na viumbe viishivyo juu yake. Lakini kila nikimwangalia kwenye hizi clip naona anasomo kubwa sana kwenye mahusiano yetu na familia zetu, he shows deep love to his son and his family. Nimekuwa naiangalia hii sehemu mara kwa mara sichoki. Inakuwa kama ile story ya Mwanampotevu......
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=QRWve1dr2JI"]YouTube- Blood Diamond - You're not a bad boy[/ame]
Alafu hasikii mapigo ya kitako cha bunduki usoni anazidi kutabika kwa ajili ya familia yake. Naomba siku moja tupate akina Kanumba/Ray/Johari/Uyowa atakayeweza kutugusa nyoyo kwenye screen kama Djimon
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=IpBEl92PW_o"]YouTube- Diamantes de Sangre - Blood Diamonds (Leo DiCaprio)[/ame]