Enyi Wanawake tumieni viungo vyenu vizuri maana nguvu ya Viungo vyenu ni kubwa

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
5,159
5,398
Mungu wetu alipokuwa akimtafuta Adamu aliiita kwa sauti kuu Adamu uko wapi? Ukisoma vizuri utagundua kuwa swali hili lilikuwa la kijiografia(a geographical question on location) cha ajabu Adamu alijibu kwa kusema si mwanamke huyu uliyenipa.Jibu la Adamu kwa MUNGU licha ya kwamba halikuwa sahihi lilikuwa na viashiria vya lawama nyingi kwa MUNGU.

Hayakuishia kwa Adamu yaliyomkuta Samsoni mchaji wa Mungu aliyeamua kutoa siri ya nguvu zake kwa mkewe Delilah ilikuwa matokeo ya viungo vya mwanamke.

Wataalamu wengine husema kuwa wakati wa tendo la kimapenzi mwanamke huwa na akili asilimia 100 huku akiwa na nguvu asilimia 0 wakati mwanaume huwa na nguvu asilimia 100 akili zikiwa 0 ndiyo maana waropokaji wengi wakati wa mapenzi inadaiwa wengi ni wanaume.

Kila kiungo ambacho mwanamke umejaliwa kuwa nacho mwilini tambua kuwa ni silaha yenye nguvu na inaweza kuleta madhara chanya au hasi katika maisha yako.

Yaliyotukia sasa juu ya shabiki wa Simba Haji Manara kuhama Simba na ni miaka michache tangu aoe mwanamke ambaye ni shabiki wa Yanga ilitosha kabisa kuhitimisha safari yake ya kwenda yanga licha ya simba kumtoa jalalani hadi dunia ikamjua.

Wanaume ishini na wake zenu kwa akili mtu unyeambiwa uishi naye kwa akili kuna mawili huenda hana akili na hafai kuwa dereva wako ama ana maarifa na akili kuliko wewe au hana vyote.

Enyi wanawake tumieni viungo vyenu vizuri maana nguvu ya viungo vyenu ni kubwa na inaweza kuathiri jamii ya wanaume na kizazi chote.
 
Huo ni uongo. Inategemea viungo gani katika umri gani. Ungewaambia watumie akili zao
Viungo vyote kwa ujumla na haijalishi umri gani kwani mke wa Ibrahimu alikuwa na umri gani alipomrubuni mzee IBRAHIMU kufanya ule uovu kwa mjakazi.
 
Siamini kama mwanamke anawezakumodify msimamo wangu kwa kutumia mapenzi,

Labda kwa kunishauri kawaida kama ambavyo mtu mwingine anawezakunishauri, i mean uzito wa ushauri wake ni sawa na ule wa mtu mwingine.

Kwangu mimi kuna mpaka kati ya mapenzi na maswala yangu mengine.
 
Labda ndo maana bible na Quran vimewatabili kuwa kutakuwa na idadi kubwa ya wanawake ktk moto wa jennam kuzidi wanaume... kuna ukweri ulio wazi hapa!!!
 
Mungu wetu alipokuwa akimtafuta Adamu aliiita kwa sauti kuu Adamu uko wapi? Ukisoma vizuri utagundua kuwa swali hili lilikuwa la kijiografia(a geographical question on location) cha ajabu Adamu alijibu kwa kusema si mwanamke huyu uliyenipa.

Hayakuishia kwa Adamu yaliyomkuta Samsoni mchaji wa Mungu aliyeamua kutoa siri ya nguvu zake kwa mkewe Delilah ilikuwa matokeo ya viungo vya mwanamke.

Wataalamu wengine husema kuwa wakati wa tendo la kimapenzi mwanamke huwa na akili asilimia 100 huku akiwa na nguvu asilimia 0 wakati mwanaume huwa na nguvu asilimia 100 akili zikiwa 0 ndiyo maana waropokaji wengi wakati wa mapenzi inadaiwa wengi ni wanaume.

Kila kiungo ambacho mwanamke umejaliwa kuwa nacho mwilini tambua kuwa ni silaha yenye nguvu na inaweza kuleta madhara chanya au hasi katika maisha yako.

Yaliyotukia sasa juu ya shabiki wa Simba Haji Manara kuhama Simba na ni miaka michache tangu aoe mwanamke ambaye ni shabiki wa Yanga ilitosha kabisa kuhitimisha safari yake ya kwenda yanga licha ya simba kumtoa jalalani hadi dunia ikamjua.

Wanaume ishini na wake zenu kwa akili mtu unyeambiwa uishi naye kwa akili kuna mawili huenda hana akili na hafai kuwa dereva wako ama ana maarifa na akili kuliko wewe.

Enyi wanawake tumieni viungo vyenu vizuri maana nguvu ya viungo vyenu ni kubwa na inaweza kuathiri jamii ya wanaume na kizazi chote.
Upo sahihi kusema 'inaweza', ni kweli kwa sababu inaweza kutokea au isiweze.
 
Siamini kama mwanamke anawezakumodify msimamo wangu kwa kutumia mapenzi,

Labda kwa kunishauri kawaida kama ambavyo mtu mwingine anawezakunishauri, i mean uzito wa ushauri wake ni sawa na ule wa mtu mwingine.

Kwangu mimi kuna mpaka kati ya mapenzi na maswala yangu mengine.
Si katika mapenzi tu mkuu.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom