Enyi Wanawake, Hivi hili lina ukweli?

Yaa
Kila familia ina mipango yake!
Kuna ubaya gani nikikaa home mwaka wa 13 sasa nalea watoto na mke ndiyo anafanya kazi?
Siyo mbaya maana duniani kuna wanaume na kuna watu wenye jinsia ya kiume
 
Una mawazo ya kipuuzi sana kama kila familia lzm ifanye jambo linalo fanana!
Mbona siku hizi akina mama nao wanafanya kazi wkt mama zetu zamani walikuwa tu wanalea familia?
 
Siyo mbaya maana duniani kuna wanaume na kuna watu wenye jinsia ya kiume
Acha mawazo mgando kama ndoa zote duniani ziendeshwe sawa
Wana ndoa ndiyo wana amua ndoa yao iendeshwe vipi
Sisi ndoa yetu ipo imara,inasonga mbele na mtoto wa 5 anakuja September hii
Anyway,sitakujibu tena nimeamua "kukupuuza"
 
Sawa mwenye jinsia ya kiume tu (ila siyo mwanaume kamili) furahia ndoa yako na huyo mwenzio mwenye jinsia ya kike tu (ila siyo mwanamke kamili) haya mjadala umekwisha.
 
Back
Top Bottom