Enyi wanaume: Mwanamke anaekupendea hela anakutakia mabaya kuliko nyoka aina ya cobra, kuhusu hatma ya maisha yako

Cute Cindy

JF-Expert Member
Apr 9, 2019
211
591
Enyi wanaume, tambueni kuwa wanawake wengi wanawaona nyie ni kama daftari, au kalamu, yani daftaari likishajaa linatupwa, kalamu ikishaisha wino inatupwa..mchunguze vizuri demu wako au mkeo, utagundua yuko na ww kwasabab unampa vihela ambavyo vitamfanya a-survive kwenye haya maisha..kwa bahati mbaya siku ukishindwa kabisa kutoa hiyo hela na huna muelekeo wa kupata ahueni ya kiuchumi huko mbeleni, bhasi ujue fika kuwa utaachwa..

Narudia tena, mchunguze vizuri mkeo/demu wako utagundua yuko na ww kwasababu unamlisha, unamvisha, unampa vihela vya hapa na pale, Na unamwekea paa juu ya kichwa chake..siku ukikosa uwezo wa ku-provide hizo financial benefits bhas na ww utaachwa

Kuna watakaokuja hapa kunipinga au kunikejeli, lkn huu ndo ukweli mchungu.
 
Sasa kuna ubaya gani mwanaume kumjali/kumuhudumia MKE wake?????
 
Ukweli mchungu me sijauona hapo 7bu mwanamke anahitaji matunzo👌 na usipotunza wenzako watakutunzia

Mwanaume kulalamika kwamba msichana/mke uliye nae anapenda pesa mjue huo ni ufala bwana na mnakuwa mmechukua size sio zenu.
Salio lako linatosha kumiliki IST tulia na bby Walker yako acha kung'ang'ania Vanguard
 
Ukinijibu hili swali langu nami ntakujibu swali lako, Kuna ubaya gani mwanamke kumjali /kumuhudumia mme wake Lizzy
Tatizo ni life style ya watanzania na jinsi tulivyokuta mambo yanaenda.
Mwanaume udumia mkeo/girl wako. Mimi nitasaidia penye kuhitajika lakini jukumu ni la mwanaume
 
Ukweli mchungu me sijauona hapo 7bu mwanamke anahitaji matunzo na usipotunza wenzako watakutunzia

Mwanaume kulalamika kwamba msichana/mke uliye nae anapenda pesa mjue huo ni ufala bwana na mnakuwa mmechukua size sio zenu.
Salio lako linatosha kumiliki IST tulia na bby Walker yako acha kung'ang'ania Vanguard
Ndio unakuta ushapenda
 
Ukweli mchungu me sijauona hapo 7bu mwanamke anahitaji matunzo👌 na usipotunza wenzako watakutunzia

Mwanaume kulalamika kwamba msichana/mke uliye nae anapenda pesa mjue huo ni ufala bwana na mnakuwa mmechukua size sio zenu.
Salio lako linatosha kumiliki IST tulia na bby Walker yako acha kung'ang'ania Vanguard

1) Ndio, mwanamke anahitaji matunzo, lakini je, mwanaume haitaji matunzo??

2)Shida sio kupenda pesa, shida ni kumpendea mtu hela, yani you're dating him, only because anakupa hela..hiyo ndo shida

3) Swali: Je wewe Utafurahi siku ukigundua kuwa boyfriend wako alikupendea hela

NB: boyfriend & girlfriend, mume na mke kusaidiana kipesa kwenye mahusiano ni muhimu Felister
 
Well said mkuu umeeleza point muhimu, Upendo uliokamilika ndio huo hauna vigezo, ukiona mtu kakupendea pesa bas ujue yupo kwa pesa zako zikikata na upendo wake umeusha na ndio tulipofikia sasa karne hii
 
Sifa ya kwanza ya mwanaume wa kuolewa nae ni AWE NA UWEZO WA KUITUNZA FAMILIA YAKE. Na hapo inahusisha na kuwa na nguvu za kumlinda mke wake na watoto wake + pesa kwa ajili ya matunzo ya familia.
Ulitaka mwanaume apendewe sura??
WANAUME WANAOJUA WAJIBU WAO WALA HUWEZI ONA WANAUMIA.
 
1) Ndio, mwanamke anahitaji matunzo, lakini je, mwanaume haitaji matunzo??

2)Shida sio kupenda pesa, shida ni kumpendea mtu hela, yani you're dating him, only because anakupa hela..hiyo ndo shida

3) Swali: Je wewe Utafurahi siku ukigundua kuwa boyfriend wako alikupendea hela

NB: boyfriend & girlfriend, mume na mke kusaidiana kipesa kwenye mahusiano ni muhimu Felister
Kwanza kabisa unavyotoa point inatakiwa urelate na uhalisia wa hii karne

1.kuna kusaidiana katika mahusiano ambayo yapo committed. Lakini kiuhalisia mwanaume ukimsaidia esp. Wale wakudate with no future najua unajua nini kinatokeaga

2. Ukiona mambo yako hivyo ujue hapo hamna upendo kuna kutumiana tu, tumia k yangu natumia visenti vyako

3. Sitafurai, nitakupa makavu live na kukuacha hapo hapo. Na hii ishawai nitokea enzi hizoo
NB. Yako utakuwa applied kwenye mahusiano ambayo yako committed/ yenye future
 
Tatizo ni life style ya watanzania na jinsi tulivyokuta mambo yanaenda.
Mwanaume udumia mkeo/girl wako. Mimi nitasaidia penye kuhitajika lakini jukumu ni la mwanaume

Mke na mume, wote wana jukumu LA kuhudumiana na kusaidiana kipesa, kimwili, etc, mume asipo-play part yake bhas, inabidi umvumilie na umkanye, ikishindikana, umkanyagilie mbali Felister
 
Back
Top Bottom