Enyi Wanasiasa 'mnapoichokoza' Dodoma kisha 'kisirisiri' kutaka 'kukimbilia' Berlin au Brussels na Nairobi huwa mnatarajia nini?

Jambo moja ninalo furahi sana mm ni kwamba sote tupo tnzania, kama kuna utawala wa ovyo na ukandamizaji na wa ukiukaji wa kisheria, sera mbovu nk haziwakuti wanaupinzani tu, sote zinatulamba,ngoja ccm waendelee kunenepeana madarakani na nyie mkondeane kwa kulipa kodi moto moto
 
Hata Museveni, Kabila baba, rais wa sasa wa DRC walikimbia nchi zao na kurudi, hizo ndio mbinu katika nchi za madictator.
 
Shida inakuj.. hata Hutafutwi na mtu.. ila kihoro..na kujishtukia.. kunawafanya wakimbie kimbie hovyo..

Wakiwazq kuna kesi mahakamani zinapikwa ndio kbs
 
Hao wapinzani kwa taarifa nilizozipata.. wamechoma Nyumba ya Diwani wa CCM.. na kuua watu.. ila wakifanyiwa wao.. ndio maneno yanafika USA
 
Mbulu kenge wana bahati walipoambiwa waandamane wakagoma,(Ahsante Mungu,malaika wa bahati alikuwa upande wao).
Bila hivyo wengekuwa jela,ma bwana zao wana kula kiyoyozi ubalozini.
 
Mbulu kenge wana bahati walipoambiwa waandamane wakagoma,(Ahsante Mungu,malaika wa bahati alikuwa upande wao).
Bila hivyo wengekuwa jela,ma bwana zao wana kula kiyoyozi ubalozini.
We bwana yako anakula viazi dodoma sio..?
 
Na 'Uchungu' zaidi unakuja pale ambapo GENTAMYCINE naweza Kuingia Kenya kwa njia za Panya na nikakaa huko bila 'Kukamatwa' lakini wengine 24/7 huwa 'wanatuaminisha' kuwa ni Wanasiasa 'Wajanja' lakini wakiingia mitaa ya 'Kaijia Dodo' wanakamatwa kama 'Kuku' na kurudishwa walikokumbilia baada ya Kukuchokoza.

Bora ya hata Wanasiasa wengine wao 'wakiichokoza' tu Dodoma wana uhakika wa Kupokelewa na hata Kulala Ofisi za Kuhifadhia 'Pasipoti' za kwenda Jiji la Berlin na kutokea hapo Berlin basi uwezekano wa kwenda Jijini Brussels unakuwa rahisi. Ila Watu wa Dodoma wanajua kweli 'Kuwanyoosha' wanaotaka kusafiri 'Kiuwoga' kwenda Berlin na Nairobi au hata 'Kaijia Dodo' tu hapo.
Una tatizo katika fikra yako.
 
SUBIRI MWAKANI SIO MBALI ....NA WA CCM WANAOJIFANYA WAJANJA TAYARI KINA PLL WASHAANDAA MAJINA YANASUBIRI KUINGIZWA KWENYE RED BOOK .............................hapo ndipo kauli ya wanafalsafa itatimia ...
Then came for communists , i was not one of them ,
They came for opposition and was neither none
They came for Jews and was not one among
And when they came for me , there was no one left to stand by me

Mwakani sio mbali na wa CCM wataanza kukibia .....wanajijua na waombe hao wanaokimbia sasa wakawaandalie makao .....

Hatujawahi kukosea ...tunaona ...watauwana sana wenyewe kwa wenyewe kwakua wakuwapiga na kuwatesa watakua wameisha , "..na ukishakunywa damu ya binadamu ,utaendelea kunywa tu "
Hata wanga au wachawi hufika mahali wakamalizana wenyewe ....
 
Back
Top Bottom