Enyi wanandoa msinyimane...mdhara yake ni makubwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Enyi wanandoa msinyimane...mdhara yake ni makubwa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by OkSIR, Jul 19, 2009.

 1. O

  OkSIR Senior Member

  #1
  Jul 19, 2009
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wapendwa kwenu wanandoa ,,bibllia inasema katika maandiko mwanamume atamwacha babake na mamake na kuambatana na mkewe
  E nyi wake msiache kuwatii na kuwastahi waume zenu....ndugu zangu ma binti mnaoenda kuolewa a mlioolewa...usiwe mwanasheria kwa mumeo uwe mshauri....na pia jua wewe ni msaidizi wa mumeo...na sio bosi wa mumeo

  Ni lazima wanandoa muende sawa na ndio maana katika maandiko yanasema atakutafurtia mtu wakufanana nae.....lakini ndoa za leo hii utashaangaa wanakaa miezi mitatu ..matusi kilema wewe miguu kama nini ...loooh hujui uliemchagua umefanana nae so kama yeye ni kilema basi wewe ni kilema kama yeye mala@@@ basi na wewe hivyo hivyo kabla ya kumhukumu mwenzio jua mdhara yake kwanza

  Lingine wanawake msiwe wahubiri chumbani jitahidi kuelekea kwenye neno hata kama BOMU ndio mnafanana nae huyo...si uliomba kwenye maombi wa kufanana nae....

  la maana jitahidi kuomba mungu akuongoze kichwa chako kiwe na hekima...ya familia ..nanyi wanaume mssibane sana familia zenu...tunajua siku zote wanadamu mawazo yao ni mabaya..lakini leo hii utashangaa wanandoa wanaoana mwanamke ananunua kila kitu huku wote wakifanya kazi...usikubali kuwa boya mpaka unaletewa na chupi..yaaha ni moja ya upendo lakini unazopata kumbuka na familia yako...

  Nanyi wanaume msikubali kuwa na mke ARTIFICIAL.....kumekuwa na wanwake wengi sana kwenye ndoa mwanamke anakuwa artificial kuanzia nyweleni mpaka mguuni....wewe unakubali mkeo kavaa miwigi..ukija kwenye lipstic...balaa ukija kwenye kucha artificial...enyi wake jamani kuweni natural....hata kama mlikuwa hivyo lakini kwenye ndoa ishi kama ulivyo wapendwa....usikubali mkeo anafanana na mke wa jirani yako matokeo yake wanafanana na jirani anakuja kukusaidia sijui nani mwenye lawama.....

  Wanawake wengi wa kiafrica wamuembwa wazuri sana sana wanwweza kuweka 3kichwa,twende kilioni,mungu amewaumba jamani....kama uko na mkeo pembeni mwambie mungu amekuumba mke wangu mpige busu takatifu ....

  Mungu ameumba wafupi na warefu..mbona hatujasikia hata siku moja watu wamefunga miti kwenye miguu wawe warefu???mbona mungu mewajalia wengi tu kuwa na makalio mazuri lakini hatujasikia mtu kaweka matikikiti awe kama mwenzake....haleluyyyaaaa wapendwa kuumbwa waafrica sio laana ..uitaji kupaka ama kujikoboa uwe muhindi.....

  mwisho wapendwa naomba wale wnye ndoa wote tafadhalini wapendeni wake zenu nanyi wake watiini waume zenu...msiwadhrau na pia muwastahi waume zenu..yawezekana kunakamatatizo kitandani mstahi,,ongea kama rafik yako.....

  mungu awaongezee uzao....na kuwabariki

  MWAZ 2:18
  BWANA MUNGU AKASEMA SI VEMA MTU AWE PEKE YAKE NITAMFANYIA MSAIDIZI WA KUFANANA NAYE...

  MWANZO 1:28

  MUNGU AKWABARIKIA MUNGU AKAWAAMBIA ZAENI MKAONGEZEKE MKAIJAZE NCHI NA KUWATIISHA
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Asante Mchungaji OKSIR.

  Leo umeamka vizuri sana, ewe kondoo wa bwana!

  Unajua hayo mambo ya kujibadilisha kwa wenzetu (kwa kujipaka ma`enjo-face,

  machockstick, malip-stick, matooth-peks, malip-shine...na madudu gani sijui ya

  kuongeza maumbo) yanatokana na sisi wanaume kupenda zaidi walio hivyo!

  So kwa namna fulani sisi ndo tunachochea mabadiliko yao!

  Tukibadilika, obviously watabadilika!

  Ubarikiwe
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Hii ipelekwe inakostahili.
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Yah sure, as if this would earn any respect from the kid abandoned for 20 years and then some mongers fighting for her signature of ackowledgement... aaaaaaaaaaarrrrrrrrrggggggggggghhhhhhhhhhhhh... i say this because i have experienced these shits of people trying to be close only after seeing the light at the end of a tunnel... GOD SERVE THEM RIGHT!!!!
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  MTM
  Usivuruge thread ya mtu bana!
  How comes umeleta huku yale mambo yetu?
  Uko sawa kweli besti?
   
 6. M

  Mugishagwe JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2009
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 295
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli sijaelewa anaongelea nini nimerudia sana kusoma lakini bado .Nahitaji msaada.
   
 7. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Hii ni semina ya wanandoa? Au ya wale wanaotarajia kuingia ndoani?
  Ubarikiwe na hii thread.
   
 8. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2009
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,032
  Likes Received: 565
  Trophy Points: 280
  [QUOTE=OkSIR;525321]Wapendwa kwenu wanandoa ,,bibllia inasema katika maandiko mwanamume atamwacha babake na mamake na kuambatana na mkewe
  E nyi wake msiache kuwatii na kuwastahi waume zenu....ndugu zangu ma binti mnaoenda kuolewa a mlioolewa...usiwe mwanasheria kwa mumeo uwe mshauri....na pia jua wewe ni msaidizi wa mumeo...na sio bosi wa mumeo

  Ni lazima wanandoa muende sawa na ndio maana katika maandiko yanasema atakutafurtia mtu wakufanana nae.....lakini ndoa za leo hii utashaangaa wanakaa miezi mitatu ..matusi kilema wewe miguu kama nini ...loooh hujui uliemchagua umefanana nae so kama yeye ni kilema basi wewe ni kilema kama yeye mala@@@ basi na wewe hivyo hivyo kabla ya kumhukumu mwenzio jua mdhara yake kwanza

  Lingine wanawake msiwe wahubiri chumbani jitahidi kuelekea kwenye neno hata kama BOMU ndio mnafanana nae huyo...si uliomba kwenye maombi wa kufanana nae....

  la maana jitahidi kuomba mungu akuongoze kichwa chako kiwe na hekima...ya familia ..nanyi wanaume mssibane sana familia zenu...tunajua siku zote wanadamu mawazo yao ni mabaya..lakini leo hii utashangaa wanandoa wanaoana mwanamke ananunua kila kitu huku wote wakifanya kazi...usikubali kuwa boya mpaka unaletewa na chupi..yaaha ni moja ya upendo lakini unazopata kumbuka na familia yako...

  Nanyi wanaume msikubali kuwa na mke ARTIFICIAL.....kumekuwa na wanwake wengi sana kwenye ndoa mwanamke anakuwa artificial kuanzia nyweleni mpaka mguuni....wewe unakubali mkeo kavaa miwigi..ukija kwenye lipstic...balaa ukija kwenye kucha artificial...enyi wake jamani kuweni natural....hata kama mlikuwa hivyo lakini kwenye ndoa ishi kama ulivyo wapendwa....usikubali mkeo anafanana na mke wa jirani yako matokeo yake wanafanana na jirani anakuja kukusaidia sijui nani mwenye lawama.....

  Wanawake wengi wa kiafrica wamuembwa wazuri sana sana wanwweza kuweka 3kichwa,twende kilioni,mungu amewaumba jamani....kama uko na mkeo pembeni mwambie mungu amekuumba mke wangu mpige busu takatifu ....

  Mungu ameumba wafupi na warefu..mbona hatujasikia hata siku moja watu wamefunga miti kwenye miguu wawe warefu???mbona mungu mewajalia wengi tu kuwa na makalio mazuri lakini hatujasikia mtu kaweka matikikiti awe kama mwenzake....haleluyyyaaaa wapendwa kuumbwa waafrica sio laana ..uitaji kupaka ama kujikoboa uwe muhindi.....

  mwisho wapendwa naomba wale wnye ndoa wote tafadhalini wapendeni wake zenu nanyi wake watiini waume zenu...msiwadhrau na pia muwastahi waume zenu..yawezekana kunakamatatizo kitandani mstahi,,ongea kama rafik yako.....

  [/QUOTE]

  Kuna mjamii aitwaye Mwalyambi30 ana thread "Ndoa si Upendo". Naamini hili ni jibu tosha kuwa ni kweli ndoa sio upendo. Aksante Kaka.
   
Loading...