Enyi wake zetu kuweni wema kwa wazazi wetu

Ila kuna wanawake makauzu jamani Yani huoni Haya kweli kupenda ndugu zako kisha kuchukia ndugu wa mumeo?

Dhamira yako haikusemeshi kuwa unavyofanya ni vibaya?

Ndiyo maana vikizidi ndugu wa mume wengine wanamkuwadia ndugu yao michepuko ili kumkomesha mkewe
 
Yani unamchukia mzazi wa mumeo?!

Unajua Mungu alikowatoa ?

Unajua mapito na raha walizopitia?

Unamtia ila mzazi wa mumeo?!

Mara mchafu, mara mchawi, mara hivi mara vile .....

Ndiyo maana ndugu wengine wanatakiwa SUA ndugu zao michepuko kuwatia adabu wake zao kwa roho zao mbaya za choyo na chuki zidi ya wazazi na ndugu wa mume
 
Nina ushahidii kuna mother wangu mdogo hakubali sana ndugu wa upande wa mumewe,lakini ndugu zake karibia wote walikaa mpaka kumaliza masomo yao,wengine kuolewa mpaka wakapata kazi.
 
Na chanzo cha hayo yote ni choyo !

Sijui ulimbukeni?!

Imeandikwa “iweni wakarimu kwa wageni wengine kwa kufanya hivyo waliwakatibisha malaika wa Mungu”
Tatizo hilo at leat tuoe wake wenye chembe ya hofu ya mungu maana baadhi ya vitu nahisi ataacha kufanya kwakua anajua anamchukiza Mungu.
 
Mimi wakati naolewa mama mkwe wangu alimwambia kijana wake ukitaka mkeo anipende anza wewe kumuonyesha upendo kwake kwa sababu hakuna mtu anayependa mama wa shetani wala mzinzi
Umeongea points Mkuu,lakini sio kweli samaki akioza ni wote wameoza!! Hivyo mzazi anaweza akawa yupo vizuri mno ila kizazi chake ndo kikawa kizaa zaa!!
 
Yani unamchukia mzazi wa mumeo?!

Unajua Mungu alikowatoa ?

Unajua mapito na raha walizopitia?

Unamtia ila mzazi wa mumeo?!

Mara mchafu, mara mchawi, mara hivi mara vile .....

Ndiyo maana ndugu wengine wanatakiwa SUA ndugu zao michepuko kuwatia adabu wake zao kwa roho zao mbaya za choyo na chuki zidi ya wazazi na ndugu wa mume
Atari sana kiongozi
 
Wacha wawakomeshee wazazi wenu.wanawake wanaowapenda mnaonaga kama nyuki vile..komaeni tu hakuna namna
 
Back
Top Bottom