DAN LOKOMOTIVE
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,503
- 1,906
mwanamke wa kuoa sio kama pesa ya kuokota ni una mjenga kwa mikono yako yako mweneywe ni kam kukamata paka unajaribu kumfuga atakaye kubali kuendana na wewe na kufugwa kwa style unayotaka wewe ndio huyo huyo unaweka ndani...ina maana jaribu hilo wazo la kuoa inatakiwa uwe nalo miaka ya nyuma kabla hujawa tayari maana yake unakua katika mahusiano na wanawake wa ligi yako uanyekupenda, kukuheshimu na mostly kutaka kujena maisha na wewe...note this process can take very long time than actual marriage could takeHabari wakuu.
Poleni sana kwa majukumu, Hoja yangu ni kwamba imefika wakati nataka kuoa sasa, ila sasa imebidi niulize kwa mliooa. Mmepataje wake wakuoa? Maana toka nipate wazo la kuoa nimekua nazurula sana maeneo mbalimbali nikiamini nitakutana na anayenifaa, hii hali imenifanya hata nikiwa nyumba ya ibada nisiwe makini na ibada bali nakagua mke, hata nikiwa kwenye daladala yaani akipanda Dada nakuwa makini sana nikiamini labda ndo huyu..!
MSAADA WENU TAFADHARI...